SI KILA MAHUSIANO YA KUVUMILIA; 19

Baada ya dada kupokea sim nikamwambia,,dada angu sijawahi kukwambia chochote kuhusu maisha yangu ya mahusiano lakini leo naomba unisaidie kunielekeza labda mimi ndo nakosea,,akanijibu,,niambie mdogo angu kuna shida gani?? Nikamuuliza, hivi dada unapokua unaishi na mume ni mara ngapi mnatakiwa kushiriki tendo? Au ni muda wote tu??? Dada akanijubu,,inategemea na mlivyokubariana na mwenzako,,wapo wanaokutana kila baada ya siku mbili,,wengine siku tatu ama kila wiki,,na wengine muda wowote wanaojisikia,,kwani kuna shida hapo na mwenzio? Nikamwambia ipo kidogo dada mwenzangu anahitaji kukutana kila siku usiku na alfajiri inafika hatua nachoka namuomba hata anipumzishe tu hata siku mbili kwa wiki lakini hataki kabisaaa sijui nifanyeje ndo maana nimekupigia kuomba ushauri,,akaniambia mdogo angu jaribu tu kumuelewesha ataelewa ila haifai kutokupumzishana inabidi upate muda hata wa kumisiana,,,nikamjibu sawa dada nitajitahidi tu kuongea nae,, okay sawa mdogo angu,,nikakata simu,,nikawaza kumbe inawezekana kukaa hata siku mbili bila kukutana sasa francy mbona hataki hata tupumzike,,hicho kitu kilikua kinanichosha sanaa,,maana inafika wakati sina ham kabisa ya kukutana lakini yeye anahitaji na hata ukikataa haelewi yaani atakwambia we lala tu usifanye kitu mi nitafanya tu mwenyew,,,na kweli atanivua nguo atanichezea kidogo lakini ute hauji maana hamu sina anaamua kupaka mate anaingiza anafanya akilizika anashuka anajifuta analala na asubuhi mwendo ndo huo huo,,,yaani ilifika kipindi nikatamani hata apate safari ya ghafla tu ili nipumzike lakini wapi, ikifika usiku nawaza hatarii,,nikawa nalazimika kuangalia vipindi hata nisivyovipenda ili tu atangulie nimkute amelala lakini akimaliza kula tu anakwambia zima tv uje tulale 😳😭😭 yaani kiufupi nilimkinai,,,mapenzi yana raha yake jamani hata mmisiane lakini ya kila siku sikia kwa story tu kama hivi ila isikukute inakera,,, 
   Siku moja nikiwa nimekaa zangu ndani wifi yangu alikuja na hakuja peke yake alikuja na rafiki yake ambae wamekua wote na kucheza wote,,yaani wametoka kijiji kimoja,,niliwakaribisha vizuri nikawanunulia kinywaji kisha tukawa tunapiga story muda huo kaka alikua hajarudi...walikaa sana hadi aliporudi kaka yake,,lakini alipoingia tu ndani francy alibadirika ghafla ila mimi sikumfatilia sana,,alisalimiana nao kisha akakaa wakawa wanapiga story na rafiki yake wifi yangu yeye alikua kimya tu ila alikua ananitazama kiwiziwizi,,,hawakukaa sana wakaaga wakaondoka,,francy akaona awasindikize ili mimi niandae chakula cha jioni,,lakini simu yake alikua ameiacha,,kiufupi nilikua na uhuru wa simu yake nae alikua na uhuru na simu yangu hata ikiita kama nipo mbali atapokea na yake ikiita hivyohivyo nitapokea ndivyo tulivyokua tunaishi,,,sasa msg iliingia,,nikaipotezea, zikaingia nyingine tatu mfululizo,,mmmh nikaona ngoja nisome nakuta msg ya kwanza inasema,,yaani francy ndo ukaamua kunifanyia hivyo,, nikafungua ya pili ikasema,,,nimemuadithia dada yako kila kitu ndo maana kanileta kuja kumuona huyo mkeo, ya tatu ikasema mke mwenyew hata hamuendani sijui hata umependea nini,,,,jamani moyo uliniuma nilishindwa kujizuia nililia 😭😭😭😭😭😭 kwa uchungu,,,yaani kunifanya kote huku lakini haridhiki anataka nini huyu kiumbe,,,hamu ya kupika yote ikaisha nikakaa tu chini,,,aliporudi akanikuta nimekaa chini akaniuliza,,,mama vipi mbona uko hivyo kuna nini? Sikumjibu nilinyanyuka nikaenda kupika,,akakaa akachukua simu yake naona akakutana na msg zake akanifata akaanza kunibembeleza lakini nilikua hata simuelewi akaniambia nitakueleza kila kitu mke wangu usichukie basi nikamwambia niache nimalize shughuri zangu tutaonges baadae,,,akasema sawa, akachukua simu akatoka nnje wala sikumfatilia nikaendelea na kazi zangu,,,,
  Nilipika kisha tukala japo chakula hakikupanda vizuri kwa upande wangu,,,nikaacha nikapanda kitandani nae akaja akaanza, unajua mkewangu huyu alikuaga mtu wangu zamani sana na yeye ndo alinitakaga na kama unavyojua wanaume tu wadhaifu sana nikawa nae kwenye mahusiano ila sikuwahi kumpenda, niliamua kumuacha na nilikaa muda ndipo nikakutana na ww,,nakupenda mkewangu niamini wala sina mahusiano nae hata sijui ilikuaje wifi yako akamleta hapa,,,nikamwambia sawa nimekuelewa yaishe nikageukia upande mwingine nikalaa,,,lakini akaanza kunishikashika anahitaji tusex 😳😳😳 nikaamka kwa hasira nikamwambia hivi francy ni kweli unakuaga na hamu au unanifanyiaga makusudi??? Unajua mkewangu we mtam sana ndo maana nakua hivi mimi mwenyew najishangaaa,,,nikamwambia hakuna we unanifanyia makusudi si vingine,,,yaani hujali nipo katika kipindi gani we unachojali ni kujifurahisha tu hunionei hata huruma au kuna dawa unazitumia??? Hapana situmii dawa yoyote naomba basi hata goli moja tu nilale,,nikamwambia leo hupati kitu kwanza niache umenikera alafu unaleta mambo yako niache,,kisha nikasogea pembeni kabisaaa,,jamani hiyo siku sikulala yaani nikipitiwa tu na usingizi kidogo anakushikashika nashtuka kazi ilikua ndo hiyo..
ITAENDELEA.... 

Post a Comment

Previous Post Next Post