Aisha nimsichana mzuli tena mlembo, ambaye amekamilika katika umbo na sula yake, Kila mwanaume aliyemtazama alivutiwa Naye,
Akika mungu akupi Kila kitu kama walivosema wahenga,
Aisha alikuwa na Tabia mbaya ya umalaya,, Tabia hiyo ilipelekea mtaani kwake aitwe MDANGAJI.
Alitumia uzuli na ulembo wake kama ulimbo wa kuwanasa wanaume,Alivunja ndoa nyingi za watu ilipelekea mpaka wanaume wakagombana wao kwa wao wakimgombea Aisha.
Usiku kama saa 3 Aisha alikuwa ndani amelala simu ikaanza kuitaa,, tri tri tri ikiwa mezani ,Aisha akastuka akanyanyuka na kuipokea ,,,hallow
ITaendelea
Sehemu ya 2
Tags:
CHOMBEZO