KILIO CHA MDANGAJI 02



Tunaanzia ilipo ishiaa,, hallow
Seheem ya pili ikasikika sauti kwenye sim ya Aisha, hallow Nani mwenzangu? Mi naitwa maiko,,
Aisha, mi mbona sikufaham unashida gani? na Nani kakupa no yangu? Maiko -nikweli haunifaham Ila mimi nakufahamu,,
Aisha- unanifaham uliniona wapi?
Maiko-nilikuona face book Ila nimekuona kupitia picha
Aisha*SEMA umeniona sio unanijua ,,unajua mana ya kuona na kujua
Maiko-ah nimeteleza kidogo samahani!
Aisha_ok shida yako nini?
Maiko-shida yangu naitaji tuonane Leo kama autojali kifupi nimekupenda naitaji kampani yako usiku wa Leo.
Aisha_mh
Maiko_nini mbona unaguna fanya ivo chukua usafiri mi ntakujalipa njo hapa ipoipo pub
Aisha_sawa Ila pesa ipo so unanisumbua tu?
Maiko_pesa kwangu mauwa
Aisha_aya nakuja nipe kama nusu saa
Maiko_ok pw pw Ila lovu u,,
Aisha_ha ha ha love u,2
Maiko akakata simu!!!zAisha _danga hili limenasa ngoja nijiandae akaingia bafuni akaoga alipomaliza akajilemba ,,akika uzuli wake ukaongezeka mala tatu,,akasimama mbele ya dressing table akajisifia akika mimi mzuli,
Akasogelea kabati na kulifungua akatoa pamba,tishu,kichupa kilichokuwa na kimiminiko na Bomba la sindano na kuviweka kwenye mkoba,ule mkoba akaushika mkono wa kushoto na mkono wa kulia akashika kitasa Cha mlango ili afungue
ITaendelea sehemu ya tatu 

Post a Comment

Previous Post Next Post