KILIO CHA MDANGAJI 03

Tunaanzia tulipo ishiaa, akashika kitasa na kufungua mlango na akatoka nje,akaufunga vizur na kuanza kuondoka.
Alitembea umbali kidogo akawa Amerika balabalani, akasimamisha boda boda.
Aisha_mambo kaka
Dereva bodaboda_safi
Asha-Naitaji unipeleke ipo ipo je unapajua?
Dereva bodaboda_ndiyo napajua
Asha-utanipeleka kwa shilingi ngapi!
Dereva bodaboda_ah shilingi 2000
Asha_sawa
Safari ikaanza adi pale ipo ipo ,,asha akafika na yule bodaboda nje ya Ile baa akapiga simu
Asha_hallow
Maiko_hallow
Asha_nimefika nipo hapa getini,
Maiko_poa nakuja chap,(akakata simu uku akijisemea nimepata zali la menntali maiko mimi)
Maiko_ohooo mlembo mambo,,anadai shilingi ngapi
Asha_safii tu ,,anadai shilingi 2000
Maiko akamlipa bodaboda yule akaondoka zake na yeye na asha wakaingia baa.
Maiko_mh m
Toto mzuli sana(kapagawa)
Asha_uku akilegeza macho na sehemu ya mwili wake baazi ikiwa wazi)mh Asante maiko
Maiko-(akizidi kuchanganyikiwa kwa mitego ya asha) weitaa
Weita_ujaona kama Kuna mtu kaja 
hapa au zalau,
Weita_samahani bosi nilikuwa naudumia,kalibu dada nikuudumie nn!
Asha_savana
Maiko_akatoa hela ,,na mimi niletee bia mbili
Muudum-sawa
Huduma zilifanyika walikunywa walikula, wakiwa kwenye maongezi ya mahaba sehemu hiyo ya baa iliyokuwa ikichombezwa na mziki laini,,mala simu ya maiko ika itaa.
Maiko_samahani ngoja niongee na sim kidogo!
Asha_sawa usijali mi nipo kwa akili yako maiko(kwa sauti ya mahaba,,)
Maiko_hallow mke wangu nambie
Lisa mkewe maiko_mume wangu upo wap mbona umechelewa kuludi!
Maiko_mke wangu nipo kwenye foleni Yani tumesimama apa tazara mke wangu Gali azitembei kabisa
Lisa_sawa mme wangu nilikuwa na hofu sawa basi Aya Aina shida ,,
Maiko-sawa mke wangu 
Lisa_aya me wangu mungu akutangulie,,akakata simu maiko akaludi ndani,,,jamani wanaume sisi mungu anatuona!
Maiko-nimekuacha mpweke nilikuwa naongea na bosi wang maswala ya kazin vp tunaweza kwenda kupumzika,,
Asha_nakusikiliza wewe tu maiko mi Sina Neno!
ITaendelea 
Maon 

Post a Comment

Previous Post Next Post