MOYO WANGU 10---11----12

Wakati mwingine uwe unalalamika lakini usivuke mipaka kiasi cha kumkufuru mungu namna hiyo, haijalishi nimangapi umeyapitia na mangapi utayapitia, kinachotakiwa ni wewe kumshukuru mungu kwa kila hatua unayopiga kwani huwezi jua mungu amekuandalia nini mpaka wewe upitie katika magumu hayo au huwezi kujua mungu amekuepusha na nini mpaka akaamua upitie hayo magumu, hivyo ni bora ukamshukuru mungu wako kwa kila hatua unayopiga katika maisha yako” sheby aliunguruma kwa sauti nzito kiasi, warda alikaa na kuyatafakari maneno hayo na kuona kwamba ni wazi atakua amemkosea bwana mungu wake, warda alishuka kitandani na kupiga magoti huku machozi yakimtoka..
“Sheby mpenzi wangu, najua nimekosea, halikuwa kusudio langu kumkufuru mungu, nilikua najaribu tuu kuelezea hisia zangu na kuonyesha ni mambo mangapi mimi nimepitia” alizungumza warda huku akiwa na uchungu mkubwa na kuonyesha wazi kua alikua akijutia jambo ambalo alikua amelifanya…
Sheby alimuangalia mpenzi wake warda Kwa majozi alimuonea huruma saana, aliamka kitandani ambapo alikua amekaa na kumfuata na alipomfikia alimuamsha sehemu ambayo alikua amepiga magoti na kumuambia….
“Usijali mpenzi wangu mimi nimeshakusamehe kwa kua wewe tayari umeshalijua kosa lako hivyo usijali, cha muhimu ni kukaa na kujadili ni kitu gani tukifanye kwani mimi siwezi kushindwa kukusaidia wewe ukizingatia mshahara ninaoupata ni mkubwa, na pia nikuombe samahani kwa kukup….”
“Kabla sheby hajamalizia kauli yake warda alimuwahi mdomoni na kumpiga busu zito”Wakati mwingine inabidi unipige ili nijue kwamba hapo nitakua nimevuka mipaka, nakupenda sana sheby mpenzi wangu”

Nakupenda pia warda, nakupenda sana na sitopenda nikuone ukiwa katika hali ya huzuni mpenzi” sheby alizungumza maneno hayo kwa hisia, baada ya hapo warda alimrukia sheby mdomoni na kuanza kubadilishana mate na kichofuata hapo ni kufanya tendo la ndoa..
Baada ya kuridhishana katika tendo la ndoa walivuta shuka na kujifunika pamoja huku warda akiwa amejilaza kifuani kwa sheby…

#itaendelea 

Ilipotimia saa kumi na moja alfajiri alarm ilimuamsha sheby katika usingizi na wakati anaamka warda nae alistuka kutoka usingizini na waliamka pamoja….
“Vipi honey ulivyoamka?”
“Aaa salama tuu, sijui wewe kipenzi cha moyo wangu?”
“Mi nimeamka salama, mmmh nambie” aliongea sheby huku akimtazama warda usoni..
“Baby mimi nataka cha asubuhi bana”
“Cha asubuhi ndo nini sasa?” Sheby aliuliza utadhani hakujua warda alikua anamaanisha nini…
“Aaa bana mi nataka etii”
“Unataka nini sasa jamani my world”
“Nataka hiyo hapo” aliongea warda huku akionesha kidole chake eneo ambalo ndipo lilipo tango la sheby…
“Mimi nimechoka banaa, mimi sitaki” aliongea sheby huku akiwa anamuangalia warda kwa jicho la huba
“Nipe bana ujue utachelewa kazini” aliongea warda huku akionyesha msisitizo katika hilo ikionesha wazi kuwa alikua akisikia hamu ya kufanya tendo hilo kwa wakati huo
“Unajua warda mi….” kabla sheby hajamalizia kauli yake warda alimrukia mdomoni na kilichosikika baada ya hapo ilikua ni miguno ya kimahaba kuonyesha kwamba kuna tendo la kiutu uzima ambalo lilikua likiendelea…
Walichezeana na kuridhishana na baada ya kumaliza zoezi lile liliwachukua takribani nusu saa nzima, walitoka na kuelekea bafuni, huko waliogeshana na kucheza michezo yote ambayo wapenzi hucheza na baada ya kumaliza walifutana maji na sheby alijiandaa tayari kwa kutoka kuelekea ofisini na muda huo tayari ilikua imeshatimia saa moja na dakika kumi na tano, baada ya sheby kumaliza kuvaa, alijiaangalia katika kioo kikubwa kilichopo katika chumba chao, aligeuka baada ya kujiangalia na kujiona yupo sawa na hapo alikutana na tabasamu mwanana toka kwa mpenzi wake warda…
“Baby nikwambie kitu, leo umetokelezeaa, yani natamani tutoke wote watu watuone jinsi tunavyoendana”
“Mmmmh hujaacha tuu vituko vyako”
“Nitaacha pindi ukiacha kutokelezea”
“Na sijui kama mpenzi wangu warda atakubali hilo litokee”
“Umeonaee, sasa ndo unaondoka hivyo au?”
“Yaa lakini nilikua nimesahau, ebu kaa leo utafakari ni kazi gani ambayo nikikuanzishia unaweza kuifanya na wakati wa jioni nikiwa narudi kutoka kazini basi unipatie jibu, nafikiri utakua umenielewa”

#itaendelea

“Mimi tena kwanini nisikuelewe wewe mahabuba wa moyo wangu”
“Okay bana ngoja nikuache, baadae basi, love you”
“Love you too, take care of yourself, mwaaaah” alizungumza Warda na kumshushia sheby busu zito katika lipsi za midomo yake..
“Okay bye”
“Bye”
Sheby alitoka na kuingia kwenye gari lake aina ya Subaru Legacy na safari ya kuelekea ofisini kwake ilianza….
Kutokana na kutokua na foleni siku hiyo sheby alifika ofisini mapema na baada ya kupaki gari lake sehemu husika aliingia ofisini na kuwasabahi wafanyakazi wenzake na baada ya hapo alipitiliza moja kwa moja mpaka ofisi kwake ambapo ndipo huwa anafanyia kazi ili kuendelea na kazi mpya pamoja na zile ambazo hakuzimalizia jana, haukupita hata muda mrefu Mr Yusufu aliingia ofisini kwa sheby….
“Good morning dad” alisabahi sheby akimaanisha “habari za asubuhi baba”
“Goog morning, how are you?”
“Am fine how about you and my mom?” alizungumza sheby akimaanisha “nipo salama vipi kuhusu wewe na mama yangu”
“Both we are fine too” alizungumza mr Yusufu alimaanisha “yeye pamoja na mke wake wameamka salama”
“May we have lunch together this day?” aliuliza mr Yusufu akimaanisha kwamba “Tunaweza tukapata chakula cha mchana pamoja siku hii ya leo?”
“Yes offcourse” alijibu sheby akimaanisha “ndio bila shaka”
“Okay see you later and have a nice work” alizungumza mr Yusufu akimaanisha “Tutaonana baadae, na nakutakia kazi njema”
“Okay fine” alijibu sheby akimaanisha “Hakuna tatizo”
Baada ya maongezi hayo mr Yusufu alielekea ofisini kwake na kumuacha sheby akiendelea na majukumu yake kama kawaida…
Mida ya saa saba na nusu mr Yusufu alikuwa na sheby katika moja ya mgahawa uliopo karibu na jengo hilo la TRA wakipata chakula cha mchana huku wakijadili mambo mbalimbali kuhusu maisha na kazi pia…

“Hivi baba ulianza kufanya kazi mwaka gani Na sehem gan Au ulianzia hapa hapa TRA?” Sheby alianzisha mazungumzo hayo baada ya kimya cha muda mrefu..
“Aaaa nakumbuka TRA hapa nimekuja mwaka 2010 ila kazi nilianzia kufanya Bank ya NBC kama Mhasibu Mkuu mwaka 1985”
“Inamaana una miaka 6 tangu uanze kazi hapa?”
“Ndiyo 
 ilikuaje mpaka ukaja huku Dar es salaam”

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post