MOYO WANGU 37---38----39

Hahaha! hebu imba nikusikie” alizungumza warda kumwambia mpenzi wake sheby ambapo alikohoa kidogo na kuweka koo lake sawa na baada ya hapo alianza kuimba wimbo wa West life unaoitwa My love… An empty street An empty house A hole inside my heart I’m all alone The rooms are getting smaller I wonder how I wonder why I wonder where they are The day we had The songs we sang together (oh Yeah) And oh my love We’re holding on forever Reaching for the love that seems so far…. Wakati sheby alipofikia hapo warda nae ili kumuonyesha hakuwa nyuma katika uimbaji nae akadakia… So I say a little prayer And hope my dreams will take me there Where the skies are blue To see you once again my love Overseas from coast to coast To find the place I love the most Where the fields are green To see you once again my love….. “Waoooow kumbe na wewe fundi sana eeh?” Sheby alimuuliza swali mpenzi wake warda katika hali ya furaha “Mimi tena, yani nahisi najua kuliko hata wewe mpenzi” alijibu warda kwa sauti iliyojaa pozi “Aaa wapi wewe, huwezi kunishinda mimi kuimba, labda utanishinda kuzungusha hichi kiuno tuu!” alizungumza sheby huku akimshika warda kiuno “Aaa sitaki bwana…” alizungumza warda kwa deko huku akivuta mdomo wake na kuvimbisha mashavu kama mtoto mdogo.. “Jamani love, sasa unataka nini?” aliuliza sheby kwa sauti ya kubembeleza “Nataka tuimbe wote sasa hivi ili tuone nani mkali” warda alitoa dukuduku lake kwa mpenzi wake “Wimbo gani?” aliuliza sheby “Wimbo wa Jordin Sparks aliomshirikisha Chris Brown” warda alimjibu huku akijiweka sawa kifuani kwa sheby “Ule wa No air au?” aliuliza tena sheby “Ndio huo huo” warda alimjibu huku akitabasamu “Hahaha! Kwahiyo wewe utakua Jordin Sparks na mimi nitakua Chris Brown au sio?” alizungumza Sheby katika hali ya kuuliza “Ndio maana yake” warda alimjibu “Okay tuanze kuimba tuone!” alizungumza sheby huku akiliweka koo lake sawa warda nae alikohoa kidogo na kuweka koo lake sawa na baada ya hapo alianza kuimba…

#itaendelea 

Tell me how I’m supposed to breathe with no air, air? Hapa Warda aliweka pozi kidogo kabla hajaendelea na baada ya sekunde kadhaa aliendelea… If I should die, before I wake Its cause you took my breathe away Losing you is like living in the world with no air (ohhh)… Baada ya kumaliza kipande hicho sheby nae alidakia.. I’m here alone, didn’t wanna leave My heart won’t move it’s incomplete If there was a way that I can make you understand… Baada ya sheby kumaliza ubeti huo warda nae akadakia… But how do you expect me To live alone with just me Cause my world revolves around you It’s so hard for me to breath.. Tell me how I’m supposed to breathe with no air Can’t live, can’t breath with no air It’s how I feel whenever you ain’t there It’s no air, no air…. Hapo sheby alidakia tena… Got me out here in the water so deep Tell me how you gon’ be without me If you ain’t here, I just can’t breathe It’s no air, no air…

Kama ungekuwa unawasikiliza jinsi walivyokuwa wanaimba, ungeweza kudhani mle ndani walikuwamo kweli Chris Brown na Jordin Sparks kwa jinsi walivyokuwa wakiwapatia, hakika ilipendeza kwa waliamba kwa sauti nyororo na za kuvutia utafikiri wao ndio walikuwa wenye wimbo… Walivyochoka kuimba walivuta shuka na kujifunika pamoja huku wakiwa wamekumbatiana na haikupita muda walipitiwa na usingizi.

 ************* ********** **********

Ilikua siku ya jumamosi mida ya saa sita mchana ambapo kulikua na hali ya mawingu kiasi pamoja na hali ya kaubaridi kwa mbali, kwakua siku hiyo ilikua weekend, Sheby hakwenda kazini, hivyo siku hiyo alipanga atoke out na mpenzi wake Warda, mida ya saa tisa na nusu sheby pamoja na warda walikuwa ndani ya gari aina ya Mercedez benz wakiwa wanaelekea maeneo ya Coco beach kwaajili ya kufurahi na kumzisha akili zao, walikua wamependeza kweli, Sheby alikua amevalia body nyeupe na chini alivalia suruali ya jinsi aina ya modo ya rangi nyeusi huku chini akiwa amevaa kiatu aina ya supermax na juu alikuwa kava cape(kofia aina ya chepeo) ya rangi nyeusi, hakika alipendeza sana,

#itaendelea 

kwa upande wa warda yeye alikuwa amevaa kitop cha rangi nyeupe huku akiwa amevalia suruali ya rangi ya blue hali iliyofanya umbo lake namba nane lionekane vyema, hakika alipendeza sana, huku chini alikua amevaa viatu vya mchuchumio vya rangi nyeupe jambo ambalo lilimfanya azidi kuonekana mrembo na wa kuvutia zaidi katika mboni za macho za sheby… “Mmmh honey leo umependeza sana yani kama vile beyonce” alizungumza sheby huku akiibia ibia kumuangalia Warda na muda mwingi alikua makini katika usukani.. warda muda huo yeye alikua akitabasamu tuu kutokana na maneno hayo ya mpenzi wake “Thank you honey, ila na wewe umetokelezea kama vile Chris brown” alizungumza warda kwa pozi huku akimtazama sheby usoni na sheby alipomtazama warda, warda alimkonyeza kwa kufunga jicho lake moja la kulia na kulifungua, sheby alitabasamu tuu na kumwambia… “Aaa love! Utoto bana huo” aliongea sheby huku akicheka.. “Ndio utoto kwani unaniona mimi mkubwa?” aliongea Warda kumwambia sheby , sheby alipaki gari pembeni ya barabara na kupandisha vioo vyake ambavyo vilikua na tinted na baada ya hapo alifungua ac (air condition) ya gari na baada ya hapo alimgeukia warda na kumwambia… “Babe hebu sogea hapa karibu kuna mdudu hapo kichwani nimtoe” alizungumza sheby akimwambia warda, Warda nae pasipo kua na hiyana alisogea karibu kabisa na mpenzi wake Shebg akiamini kwamba ni kweli alikua na mdudu kichwani na Sheby alikua akitaka kumtolea, lakini alipokuwa karibu kabisa na Sheby alishanga amedakwa shingo yake na hapo Shebg alitoa ulimi wake nje kuonyesha kuwa alikua akitaka kubadilishana mate na mpezi wake, nae Warda bila hiyana aliupokea vyema na kundendeka kwa muda kama dakika tano, hapo Sheby alishusha mkono wake na kugusa maziwa ya Warda kidogo ambapo Warda alitoa kamguno cha kimahaba, baada ya kuridhika kubadilishana mate na mpenzi wake Sheby alishuka katika gari na kumwambia Warda akae katika usukani, baada ya Warda kukaa katika usukani sheby alizunguka upande wa pili na kuingia ndani ya gari.. “Haya funga mkanda tuendelee na safari”

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post