SMS 20 za kubembeza, mapenzi na mahaba


Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi. 

Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda amini kwako nimefika!

RELATED: SMS 18 nzuri za kumtumia mpenzi wako ili akupende daima

 Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeiteka yangu nafsi, nakupenda sweetie.

Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani!

Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.

Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kama nyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Upepo wangu wakupuliza wewe kutokana na joto kali usijaribu kwa kuvaa sweta ukapunguza ukali ninachotaka mi nikuwa na wewe naomb unielewe .         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*      

Maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa,lakini ni makubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani. inaniuma sana          *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake, nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd aanze yeye •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni nasikia raha.   Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng’ombe akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika kwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu halitafutika kamwe. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  

Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Röhö hÃ¥inÃ¥ furaha sababü  ya ükimyä wÃ¥kö,näfsi hÃ¥inÃ¥ raha kükösä sÃ¥uti yako,möyöni näsonönekä kükösä salam yäkö,hÃ¥kikÃ¥ nitäfürähikä kuijuä häli yÃ¥ko “ümzima”?. ……………………………………………….

Kanuni za kudumisha “PENZI” Milele. 1.Ukipenda ucpende tena. 2.Penda kwa dhati.3.Mheshimu Mpenzi wako. 4.Kuwa mvumilivu 5.Mjali umpendae 6.Jivunie kuwa nae 7.Ucmfiche jambo 8.Ucpende achukie 9.Unapokosea omba radhi.10.Uckubali kumpoteza (ukifanya hivyo mtapendana milele) nakupenda Sana. ……………………………………………………………..

Mapito ni mengi, ktk maisha… Utaumia, utalia, utahuzunika, utakata tamaa, utavunjika moyo na wakati mwingine kujuta kwanini ulizaliwa, lakini kaa ukijua hayo yote yanatakiwa kuwepo ili, kukufanya jasiri ktk kuzifikia ndoto na malengo yako, usikate tamaa MUNGU yupo pamoja na wewe.UCIKU MWEMA

 ITAKUA” Kama “NDOTO” Pale “MOYO” Wangu Utakapozima Kama “MSHUMAA” Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie “SAUTI” Yangu Lakini Utakuwa Tayari Umeshachelewa. “KILIO, HUZUNI, SIMANZI Na MAJONZI” Zitakuwa Zimetanda Katika Kuta Za “MOYO” Wako.

MACHOZI” Yatakutoka Kila Utakapokumbuka UCHESHI Wangu Na Moyo Utakuwa Mpweke Kila Utakapoiona NAMBA Yangu Kwenye Simu Yako.

Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu”J.pili njema Hny. …………………..  

Mpita njia kashkwa na kiu kaenda kuomba maji jiran,dogo akampa maziwa jamaa akanywa akasema kiu bado,dogo akampa tena glasi ya maziwa,jamaa akauliza mna maziwa mengi? Dogo akamjibu si hatuyataki kwani jana panya alidumbukia, jamaa kusikia hivyo akashtuka akaangusha glasi,basi dogo akaita mamaa mgeni kavunja ile glasi ya bibi ya kutemea mate!!! Jamaa akazimia…aa!! …………………….  

Ingekuwa upendo unauzwa nisingekuuzia kamwe,ingekuwa pendo ni mwandiko ningeandika counte nzima,ingekuwa pendo ni wino hakika kalamu yangu isiyoisha,ingekuwa pendo ni kisima maji kisimani kwangu kwa ajili yasingekauka.nakupenda hny ………………………  

Pendo ni mwandiko mzuri wenye vina ya kimapenzi,kwa utajo wake ni wenye kutamkwa vizuri,kwa uzuri wake hutufanya tupendane xana,acha nikupe mwandiko wangu nakuomba uuthamini. …………………….  

Wagunduzi walifanya hivi kujua asali ni tamu walionja kwa ulimi, vile vile shubiri kujua kama ni chungu walionja kwa ulimi. Lakini wanasema mapenzi ni matamu zaidi ya asali na ni machungu kuliko shubiri. Je.? Unaweza kuniambia waliyaonja vipi kabla ya kujua? …………………… 

Post a Comment

Previous Post Next Post