πŸ‘―JIRANIπŸ“ 15 mwishoo




“ Aaaaaah! Sasa hiko kinawezaje kuwa jibu?” Nilimuuliza.

“ Kwanza hiko ni nini?” Nilimuuliza kwa mshangao.

“ Huu ni uume bandia.”

“ Sasa uume bandia unahusikaje na haya yote tunayoyazungumza? Au huu ndio uwa unawaingizaga wanawake hadi wanachanika vile? Lakini mbona unaonekana mdogo au uwa unaujaza hewa?” Nilimuuliza maswali mfululizo.

“Huuu niliununua baada ya kuona maungo yangu ni makubwa na hayawezi kumuingia mwanamke. Niliununua nikawa kila ninapokutana na mwanamke naufunga kwenye nyeti zangu halafu huu wa ukweli naubana pembeni, wakati wa mchezo nakuwa makni sana kuhakikisha huu wa ukweli hauonekani, hivyo nakuwa nafanya mapenzi na uume wa bandia na sio huu wa ukweli.”

“ Eeeeh kwahiyo ulikuwa unafanya hivyo kwakuwa ulikuwa hutaki kuwaharibu watoto wa watu?’

“ Ndio, mfano jenifer mara zote nilizokuwa nakutana naye nilikuwa namuingiza huu bandia, ila siku hamu zangu zilipokuwa juu nikashindwa kuvumilia ndipo nikamuingiza huu wa kweli, na matokeo yake ndio yale, nilimvunja vibaya sana”

“ Mmmmh! sasa vipi kuhusu mimi, mbona mimi umeniingiza hiyo ya kweli na wala sijavunjika?”

“ Hilo hata mimi mwenyewe nashangaaa. Nazani umeletwa makusudi kwa ajili yangu. Nazani ulizaliwa ili uolewe na mimi, maana hakuna mwanamke aliyeweza kuhimili naniliu yangu zaidi yako, ajabu baada ya tukio naniliu yako inarudi na kuwa kama zamani, umeumbwa tofauti sana.’ Aliniambia.

Maelezo yake yaliniingia akili, niliamini, ilikuwa ni kweli, kwa jinsi mambo yalivyotokea kwa mwanamke yeyote ni lazima angehisi kaingizwa kitu tofauti kwakuwa mara zote alikuwa anakutana naye na hakukuwa na baya lilitokea sababu alikuwa anatumia uume mdogo wa bandia.

“ Nimekuelewa.” Nilimjibu.

“ Nafurahi kusikia hivyo, lakini nilikuwa naombi, kwakuwa jana tulishirikiana bila ya madhara yoyote, na kisima chako kilifanya maajabu sana. Naomba na leo tujaribu tena.” Aliniambia. Alinisogelea na kuninyonya shingo.

Alinichombeza na kuniweka katika hali ya utayari.

Baada ya bingili bingili, nusu saa mbele tulikuwa kama tulivyozaliwa, kama ilivyokuwa jana, pamoja na Michael kuwa na naniliu kubwa ya ajabu, kwangu iliingia bila ya madhara yoyote, tulienjoy na kufurahia penzi letu.

……………….

 Siku zilikatika penzi letu lilizidi kukolea, Michael alileta barua kwetu tukaoana rasmi. Nilimfata Jenifer na kumuondoa mawazo potofu aliyokuwa nayo kuhusu kuingizwa ukuni, nilimweleza akaelewa.

 Penzi langu na Michael lilishamiri.

“ Nilijua sitakuja kupata mpenzi wa kuweza kunihimili.” Aliniambia Michael.

‘ Aliyekuumba anaakili, mpango wake ulikuwa uolewe na mimi. Alituandaa ili tuoane.” Nilimwambia. Nilimsogela na kumbusu usoni.

……………………….

Siku moja nikiwa mtaani, nilikutana na yule mpaka rangi akiwa kaongozana na mdada, kwa mwonekano tu, walionekana ni wapenzi. Sikutaka kumshtua, niliangalia pembeni na kutaka kuwapita, lakini kabla sijawapita mpaka rangi aliniona. Aliniwahi na kunishika mkono.

“ Ahsante sana dada. Ushauri wako nimeufanyia kazi na saizi nimempata mchumba wangu. Kma ulivyonishauri,nilienda kujichunguza zaidi, kumbe pamoja na naniliu yangu kupinda na kuwa ndogo kumbe ikicheweza inajinyosha na kuwa na uwezo wa kushiriki tendo. Saizi nashiriki tena bila ya shida. Na huyu ni mpenzi wangu” Alinimbia huku akimuoneshea kidole mwenzake.

“ Hongereni sana.” Niliwaambia.

………………….

Siku zilikatika, penzi langu na michael lilinoga, Michael alinikuna na kunifanya nijisikie vile ambavyo sikuwahi kujisikia, mapenzi yake moto moto yalinipagawisha kabisa. Mpka sasa tupo pamoja. ananipenda, name nampenda.

MWISHO. 

Post a Comment

Previous Post Next Post