MAPENZI YA CHUO. 3 final

siku hy ilipita hvyo"

" Nilimsimulia rafiki yangu amby alikiwa mwaka wa pili kila kitu siku ile, jamaa alinitukana sn na aliniambia kesho nimwoneshe hy dada, nilijiuliza sana je kesho nikimwonesha hy mdada itakuwaje na dada atanichukuliaje wkt mie ndo nilimfata na yeye ili kunikubalia aliniambia anataka vt vzr na mie nilikubali"

"Kesho yk nilijidai siku nzima naumwa malaria na sikwenda chuo hata nilipomweleza yule dada hali yangu alinijb kwa ufupi tu 'poye bby'. Siku zilienda lkn siku moja nilimeza bomu kutokana na maneno nloambiwa na rfk yangu nikamfata yule mdada nikiwa sina masihara kbs,nikamweleza kila kitu,kipnd cht nlipokuwa naongea alikuwa kimya tu anatizama simu yk, baada ya mie kumaliza alinipa jibu moja tu 'paja langu haliwezi kulaliwa na mtu wa hovyo kama wewe,we unaona mimi na ww tunaendana we mkaka? Pesa yk nimekula na huna cha kunifanya'. Dada alinyanyuka na kuondoka"

"Niliapa kufanya jambo la htr kwake lkn nilishindwa,nililia sn na washikaji walinicheka sana" "Yule mdada niliendelea kumwona chuoni akiwa na mwanaume mwingine na hali hy iliniathiri sn hadi nikaacha chuo" "Bahati nzuri nilijiunga na diploma baadaye na sasa mie ni Mhasibu naendelea na maisha, sitokuja kusahau hili" 

"Nategemea nijiendeleze kielimu mwaka ujao"

Omary~Shinyanga 

Post a Comment

Previous Post Next Post