💃Mwana mke ni kiumbe wahatari kabisa 💃



01. Mwana mke akikuambia ana kupenda kwa dhati akikupa ushauri uzingatie sana...✍🏻wengi walio wahi kupuuzia walibaki kujilaumu..✍🏻
02. Mwana mke nikiumbe mwenye milango sita yafaham...✍🏻siku akikuambia anahisia mbaya juu ya jambo fulani amini kutatokea taarifa mbaya sikuiyo.✍🏻
03. Mwana mke akifurahia uwepo wako ama chochote kuhusu wewe kuna namna milango itafunguka juu yako..✍🏻
04. Mwana mke akilia kwa sababu yako jua gundu na mikosi ipo njiani kuna..
MWANAMKE SIO KIUMBE CHA KAWAIDA....✍🏻imeisha 

Post a Comment

Previous Post Next Post