"HOUSE BOY" 1

 
  Ni majira ya Asubuhi na mapema Mama Amina aliiaga familia yake wakiwemo watoto wake wakike watatu na mme wake ,alikuwa na safari ya kwenda Morogoro kumtembelea Shangazi yake aliyeitwa Theresia,Asubuhi hiyo aliweza sindikizwa na mme wake ambaye aliitwa James Esau.

James Esau alimsindikiza mke wake hadi stendi ya magari kwa ajiri ya safari hiyo,alipo mfikisha stendi ya mabasi ya Ubungo waliagana Mama Amina akawa amepanda gari ya kwenda Morogoro ,saa kumi na mbili asubuhi basi hilo lilianza safari yake.

    

   """"Mama Amina ambaye alikuwa na watoto watatu wote wa kike alifurahia sana safari hiyo ,kwakuwa ilikuwa yatofauti sana kwake, familia ya Mzee James walikuwa na watoto wa kike watatu ambapo wa kwanza aliitwa Amina wa pili aliitwa Martha na wa mwisho aliitwa Emmy, watoto wake wote walikuwa wakisoma, Amina alikuwa chuo kikuu ,Martha naye alikuwa Chuo cha ualimu,na Emmy alikuwa amemaliza ki 

Post a Comment

Previous Post Next Post