"HOUSE BOY" 7



TULIPOISHIA
 Katika sehemu ya sita tuliishia pale Mzee James alipompigia simu Mama Amina na kuanza kumuuliza maswali mkupuo akitaka kujua zaidi mahali alipo.

ENDELEA......
"""""Mzee James Esau Alionekana Kuwa na hasira sana juu ya Mke wake kwani alikuwa akimpenda sanaa,hivyo alimuuliza Mama Amina kwa ukali zaidi, akisema Niambie Mke wang uko wapi nikufate mda wote Mama Amina alikuwa kimya tu akimsikiliza Mme wake huku akiandaa kichwani mwake jibu la kumpa.

"""""Mama Amina alimwambia Mme wake kuwa alikuwa ameenda msibani Kwa rafiki yake aliyekuwa amefiwa na Mama yake Mzazi,aliendelea kusema kuwa aliweza kuzima simu ili kuweza kuepusha usumbufu, kutokana na msiba huo ila alimuomba msamaha Mme wake akisema"Nisamehe Mme wangu sitorudia tena kuzima simu"

""""''Kwa uongo alioutunga Mama Amina Mme wake alikubali kwa kuwa alikuwa akimwamini sana, katika maisha yao yote ya ndoa Mzee James Esau hakuwahi kumtilia mashaka Mke wake kwakuwa alikuwa Mwaminifu kwake.

'"""""Mda huo Lauson alikuwa akisikiliza maongezi yote yaliyokuwa yakiendelea kati ya Mama Amina na Mme wake juu ya kitendo cha Mama Amina Kuzima simu na kuchelewa kurudi nyumbani,ilikuwa tayari isha fika saa mbili na dakika hamsini za usiku.

"""""Baada ya Maongezi hayo mafupi Mama Amina aliweza kumuahidi mme wake kuwa mda si mrefu atakua ameshafika nyumbani,Mama Amina alimalizia kujiandaa ,baadae akamwambia Lauson warudi nyumabani.

""""Lauson alishangaa sanaa kuona Mama Amina akimdanganya Mme wake kisa yeye, hakika alimuonea huruma saana Mzee James ila hakuwa na cha kumsaidia .

Mzee James alikuwa akimpenda sana Mke wake na kumjali pia sana pia alikuwa akimwamini ila tatizo lilikuwa tu kuwa Mzee James alishibdwa kumlizisha mke wake kitandani, hivyo basi kila kitu mke wake alicho mwambia alikubaliana nacho hatakama ni kitu cha uongo alikubali.

""""Mama Amina alitoka nje na Lauson hadi mahala alipokuwa amepaki gari yake pembezoni mwa hoteli hiyo, hapo ni baada ya kupita mapokezi na kulipa kiasi cha shilingi 50,000/= kwakuwa huduma zote walizipata humo humo ndani kila kitu kilikuwa kikipatikana humo kwenye chumba cha V.I.P alicho kuwa amekodi Mama Amina.

""""Mama Amina na Lauson walipanda gari na walipo kuwa njiani ,Mama Amina alianza kuyatoa mambo yote yaliyokuwa moyoni mwake,alimwambia kuwa Lauson kumbuka mm nakupenda sana na sitaki kuchangia penzi na Mtoto wangu mwenyewe,Lauson naomba unielewe juu ya hili sitaki kukuona tena ww ukiwa karibu na Amina.

"""""Aliendelea kumweleza Lauson huku akiongea kwa hisia na kweli ukimuangalia usoni kwake alikuwa akimaanisha anacho kisema kwani alikuwa siliasi hakuonyesha utani wowote juu ya swala la kuchangia Mapenzi na Mtoto wake Amina.

""""Mama Amina alizidi kumsisitiza Lauson juu ya Mahusiano yake yeye na Amina kuwa hataki kuona na kusikia chochote kitakacho endelea kati yao na Mama Amina """alimuahidi Lauson kuwa endapo ataendelea kutembea Na mwanae kuwa angeweza kumwambia Mme wake juu ya hilo ili Lauson aweze kufukuzwa hapo nyumbani""".

"""""Lauson mda wote huo Mama Amina akiongea juu ya uhusiano wake yeye na mtoto wake Amina akitaka uvunjike ,Lauson ndani ya Moyo wake alikuwa akijisemea kimoyo moyo kuwa.

""Yani Mama Amina hata usemeje mimi siwezi kumuacha Amina hata ufanye kitu gani bora unifukuze kwako ila siwezi kuachana na Amina kwani Nampenda zaidi ya wewe unavyofikilia,Lauson alikuwa akiwaza tu akilini mwake.

"""Alikumbuka kuwa mda ule hakumalizia kuzisoma meseji za Amina katika simu yake,aliifungua simu yake ambayo ilikuwa nu simu kubwa aina ya Samsung galaxy.

""""Alizisoma meseji zote alizomtumia Amina,baada ya kumaliza kuzisoma zote aliona amjibu Amina akimwandika"Baby Niko Njiani hapa nilikuwa nimemsindikiza Mama Msibani huko mbali Bagamoyo"".

"""""Ujumbe wa Lauson ulimfikia Amina,Amina baada ya kuusoma aliujibu sawa ""Mpenzi mimi nakusubiri kwa hamu kubwa sana na nimekumisi pia," waliendelea kuchati kwa mda wa kama dakika kadhaa,kisha Lauson na Mama Amina wakawa wamekalibia katika wilaya ya Gongo la Mboto ambapo ndipo walikuwa wakiishi.

""""""Walifika nyumbani hapo mda wa saa tatu na nusu,Mlinzi aliwafungulia geti wakaaingia katika familia ya Mama Amina ambaye alikuwa bado hajalala alikuwa ni "Amina tu ila wengine wote walukuwa wameshalaa.

""""""Amina alikuwa chumbani kwake baada ya kusikia tu sauti ya Mama yake sebuleni alijuwa wamesha fika, kwakuwa Lauson alikuwa amechoka sana usiku huo hakutaka usumbufu wowote na mtu yeyote.

"""Walipata chakula kwa pamoja na Mama Amina akawa amemuaga Mama Amina kuwa anaenda kulala,walitakiana usiku Mwema kila mmoja akawa ameingia chumbani kwake kulala.

"""""Mama Amina aliingia chumbani kwake kufungua tu mlango alikaribishwa na sauti ya Mtu akikoloma,Mzee James Esau kila usiku alikuwa ni mtu wa kukoloma na kila siku yeye ndiye alikuwa anakuwa mtu wa kwanza kulala,Mzee huyo alikuwa na Miaka 51 .

"""""Mama Amina alikuwa hapendezwi na tabia aliyokuwa nayo Mme wake kwakuwa Mzee James Esau alikuwa hajui hata kumpetipeti mke wake zaidi tu alijali kazi yake na mambo yake ya kiwanda chake.

"""Usiku huo baada ya Lauson kuingia tu chumbani,simu yake ilingia ujumbe kutokaa kwa Amina Mpenzi nakuja unipa utamu nimeshamisi yale mambo yako.

""""Lauson kwakuwa alikuwa amechoka alimjibu akmwambia "Mpenzi lala mimi leo nimechoka sana hatuwezi kufanya mapenzi katika usiku huu labda kesho mpenzi" Amina aliusoma ujumbe huo ila hakulizika.

""""Amina alituma tena ujumbe"Mpenzi nakuja japo unipe utamu mara moja nimemisi Mbolo yako tamu" Nina nyege mwenzio nataka unikune kwenye kitumbua changu"",Amina alikuwa na nyege mbaya sana aliamu kuja hadi mlangoni kwa Lauson kumgongea.

"""Ndugu Msomaji unadhani ni kitu gani kitatokea..

Usikose sehemu ya nane ya chombezo hii.

""Usikubali Kupitwa na Uhondo huu Ndugu Msomaji"
  
 ITAENDELEA.. 

Post a Comment

Previous Post Next Post