"HOUSE BOY" 8

 TULIPOISHIA.
   Katika sehemu ya saba tuliishia pale Amina alipokuwa akigonga Mlango wa Lauson ili kutaka kuingia kujipatia utamu kwakuwa alikuwa na nyege zilizokuwa zinamsumbua sana.

 ENDELEA.....
""""Mda huo Amina akiendelea kugonga mlango huo bila kuona matumaini yoyote ya Lauson kugungua mlango, Amina hakukataa tamaa aliendelea kizidi kugonga mlango huo .

 """"Mda huo Lauson alikuwa akimsikiliza tu ila asingeweza kufungua mlango kwani alikuwa amechoka sana, pia katika mda huo alikuwa hana hamu ya kufanya Mapenzi tena kwani mda si mrefu alikuwa amekula kitumbua cha Mama Amina.

"""""Kumbe katika mda huo wa saa tano usiku Amina alipokuwa akiendelea kumgongoe Lauson Mlango ,Mama Amina alikuwa bado hajalala alikuwa akimaikiliza tu Mtoto wake Amina jinsi alivyo zidi kugonga mlango bila kukataa tamaa.

''"""Mama Amina kila alipokumbuka kitombo alicho kutana nacho kule hotelini,hakika hakuamini kama Lauson ndiye angeweza kumtomba na kumliza kiasi kile duuh!! alikuwa akijiwazia tu mwenyewe huku akitabasamu na kufurahi tu mwenyewe.

""""Mama Amina baada ya kuona sasa mtoto wake Amina amezidi kugonga mlango bila kukataa tamaa yoyote aliona ajitokezee Mwenyewe,alikulupuka kitandani na kwenda kufungua mlango.

 """Alifungua kitasa cha Mlango huo wa chumbani kwake pole pole, ili Amina asije akasikia na kukimbia alitaka amkamate siku hiyo kwani alikuwa hapendezwi kabisa na tabia ya mtoto wake Amina kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Lauson ,wakati Mama Amina mwenyewe alikuwa akimtakaa Lauson kimapenzi.

""""Alipofika tu karibu na Amina bila Amina kuweza kumuona alifika anamuuliza swali"""we Amina usikuu huu ng'o ng'o kwa Mlango wa Lauson unatafuta nini wewe mbona unabalaa we mtoto!!, Mtu amelala zake wewe unamsumbua tu kwa mikelele yako hiyo ya kumgongea mlango tena katika mda huu unakwa unataka nini??.

""""Amina aliulizwa maswali hayo kwa mkupuo alishindwa ajibu nini kwani ni kweli hakuwa na sababu nyingine ya muhimu iloyokuwa inampeleka chumbani kwa Lauson zaidi ya kufata"Dudu* la Lauson,ambalo toka amehonja utamu wake hajawahi kuwaza wala kufikiria kulikosa katika maisha.

"""""Amina baada ya kukosa sababu ya kujibu,Mama alijui mwanae alichokuwa anakifata kwa Lauson,Alimsogeza pembeni na kumuonya akisema""Amina Mwanangu nakuomba uachane na huyu house boy Lauson,siku Baba yako akijua atawafukuza nyote we na Lauson.

"""""Akaendelea kumwambia Amina kuwa kama hataki Lauson afukuzwe nyumbani hapo aachane naye kabisa na asije akafanya mapenzi nae tena siku nyingine tena, Amina alikubali sawa Mama nitafanya hivyo"Mama yangu" .

"""Amina alikuwa akimheshimu sana Mama yake pia alikuwa akimuogopa kwani Mama yake alikuwa mkali pia alikuwa hataki watoto wake wajihusishe na Mambo ya kipuuzi na kijinga angali bado hawajaolewa na wengine bado wanasoma .

""""Amina alirudi chumbani kulala huku akiwa amenyongonyea kabisa ila moyoni alijuwa kuwa Lauson ni wake na Atabaki kuwa wake hata Mama yake asemeje"" kweli katika wakati huo Amina na Lauson walikuwa wakipendana sanaa na hakuna mtu angeweza kuwatenganisha katika mapenzi yao.

"""""Mapenzi kati ya Amina na Mpenzi wake yule wa Arusha yalizidi kudidimia na kusinyaa, kwani Mapenzi hayo yalikuwa yamesha ingiliwa na Lauson.

"""Lauson alikuwa mtaalamu sana wa Mapenzi kiasi kwamba aliweza kumteka Amina kimapenzi na kumfanya Amina amsahau na kumpotezea Kabisa "Ibrahim" ambapo kwa mda huo Ibrahim alikuwa bado kwao Arusha.

  ENDELEA......
"""""Ibrahim Mpenzi wake na Amina aliendelea kumpigia simu Amina kila siku, ila Amina yeye toka ampte Lauson alikuwa hamtafuti tena Ibrahim bila yeye kumtafuta,

""""Mda mwingi Ibrahim alipo mtafuta Amina kwenye simu yake,Amina alikuwa akimkatia simu ,na mda mwingine simu yake ilipokelewa ila aliwa akiambiwa tu kuwa yupo hatakama hakuwa bize na kaziyoyote ya kufanya na kila Amina alipo muahidi kumtafuta Ibrahim alikuwa hamtafuti.

"""""Kadri siku zilivyo zidi kwenda ndivyo Mapenzi kati ya Amina na Ibrahim yalivyozidi kutetekea, Ibrahim alikuwa bado akimpenda Amina ila kwa upande wa Amina katika wakati huo alikuwa hampendi Mapenzi yake yalihamia kwa House Boy"Lauson".

""""""Maisha yaliendelea Kama kawaida Katika nyumba hiyo ya Mama Amina, na ilifika mda Emmy akawa ameenda shule kwani alikuwa amefauli masomo yake vizuri ya kidato cha nne kwa kupata daraja la Kwanza"division one".

""Emmy alifanikiwa kwenda Advance kuendelea na Masomo yake,Pale nyumbani alibaki Martha na Amina ndio walibaki kama watoto wa pekee wa Mama Amina.

"""Zilipita siku nne bila Amina kufanya Mapenzi na Lauson kwani wote walikuwa wakimuogopa Mama Amina, Mama Amina kwakuwa alikuwa akimpenda sana Lauson alikuwa akimnunulia kila kitu alichokuwa akikitaka.

""""""Siku moja Lauson alikuwa amekaa sebuleni akiendelea kuangalia mpira kwani yeye alikuwa mshabiki sana wa mpira hususani timu za ulaya,alikuwa mshabiki mkubwa sana wa timu ya Manchester City na kila timu hiyo ilipokuwa ikicheza alikuwa radhi kuacha chakula na kwenda kuangalia mpira huo.

"""""siku hiyo ilikuwa ya Jumapili Lauson alikuwa akiendelea kuangalia mpira mara simu yake iliita"" Kuangalia jina la mpigaji ilikuwa namba ngeni akaona apokee simu maongezi yao yalikuwa hivi.

""Lauson hallo! sauti kwa upande wa pili ikasikike , habari yako Lauson, Lauson alisita kidogo akaitika salama nani Mwenzangu? mdada huyo akajibu akisema mimi ni Catherine tuliyekutana siku ile kwenye ile hotel ya Kibalo vipi usha nisahau Lauson??Catherine aliuliza.

""""Lauson alijibu ahaaa!!! kumbe ni Catherine ehee nimesha kukumbuka niambie Catherine, Catherine alijibu safi tu akasema"Lauson samahani kwa usumbufu nilikuwa nakuomba leo tukutane pale pale katika hoteli tuliyo kutana siku ile nina Maongezi na wewe tena naomba iwe saivi.

""""Duh!!! Lauson kusikia Maneno ya Catherine ya kumtaka wakutane tena ikiwa ni pale hotelni alipokula kitumbua cha Mama Amina,alijua hapo kazi ipo kwani alijuwa wazi kuwa hayo maongezi Catherine anayo muitia yatakuwa siyo ya kawaida bali atakuwa anataka kupewa dudu tu.

"""""Lauson hajakaa sawa simu yake mara simu yake ikaingia meseji mbili mkupuo yakwanza ilikuwa kutoka M-pesa ikimwambia kuwa imethibitishwa amepokea shilingi 20,000 kutoka kwa Catherine Yohana.

""""Meseji nyingine nyingine ilisomeka kuwa"""Hiyo hela niliyo kutumia ni ya usafiri tu na Maandalizi mengine Njoo basi mwenzio nimekusubiri naomba uwahi ety" meseji ya pili ilisomeka hivyo.

  Unadhani ni kitu gani kitatokea,usikose sehemu ya 9

""Usikubali Kupitwa na Uhondo huu Ndugu Msomaji"

  ITAENDELEA... 

Post a Comment

Previous Post Next Post