KIBUYU CHA BABU - 1

SUDY alikuwa kijana mwenye umri wa miaka ipatayo Kumi na tisa....alipenda sana mchezo wa mpira wa miguu...
Alikuwa akiishi na babu yake...huko MAGU jijini mwanza...tangu utoto wake alilelewa na babu yake baada ya wazazi wake kufariki baada ya tukio la ajali ya moto iliyounguza nyumba yao na kuteketeza kabisa"",, ama kweli Mungu sio Athumani...Sudy alinusurika yeye peke yake baada ya kuokolewa katika ajali hiyo ya moto.. wakati huo alikuwa mtoto wa miezi kumi na moja....hivyo babu yake ambaye anaitwa mzee MKUMBO hivyo yeye pamoja na mkewe walichukua jukumu la kumlea sudy...sudy aliendelea kukua na hatimae akatimiza miaka kumi na tisa...sikumoja aliamka usiku ili kwenda kujisaidia haja kubwa"""" ilikuwa ni mida ya saa nane usiku...alipotoka nje alishangaa kuona watu wamevalia kaniki nyekundu wamekaa chini huku wamekizunguka kibuyu

Post a Comment

Previous Post Next Post