MREMBO MCHARUKO-3 - 4

 




MTUNZI-LATIFA NTANGA
0763361677

Nilijiisi kama nina mikosi vile, basi nikaacha begi langu nakutoka kuelekea huko ofisini kwa mwalimu.
"Shikamoo mwalimu"
nilimsalimia nilipofika.
"Marahaba" alijibu huku akiniangalia juu hadi chini, nikamuona anatabasamu nakusema.
"Afadhali leo umevaa kiheshima ile nguo jana mh haikuwaacha wanaume salama"
alisema nikajikuta natamani kucheka ila nikajizuia.
"Halafu jana kwanini uliondoka bila kuja kuniaga wakati nilikwambia ukitoka unione" alisema nikaona hiki ndicho alichoniitia.
"Mwalimu jana tumbo lilikuwa linauma sana"
basi nilijibu kiunyonge ili aniamini.
"Oh pole sana mpenzi wangu" nilitoa macho hayo huyu baba kuniita mpenzi nilishangaa.
Mara nikamuona kaingiza mkono mfukoni nakutoa wallet yake akahesabu noti tano za elfu kumi nakunipatia.
"Za nini hizo mwalimu?"
Niliuliza kabla yakupokea isiwe ananipa ili nilale naye namimi sipo tayari.
"Zako mrembo zitakusaidia chukua"
alisema.
"Sawa asante"
Nikazopokea nakuweka kwenye mfuko wa sketi yangu.
"Halafu mwalimu mwenzio baba kasema nikiferi ataniozesha naomba niende darasani nikajisomee"
Niliona ananichelewesha tu nikamwambia hivyo kwanza alicheka sana.
"Yani wewe binti mdogo hivyo kuolewa si vichekesho huyo baba yako anachekesha sana ila usijali nitakusaidia utafauru sawa"
Basi nilifurahi nikamuitikia akaniruhusu nirudi darasani.
"Enhee shogayangu umekuwaje umepigwa au?" Kufika tu marafiki zangu wakaniuliza.
"Akuuu mnipishe nina mwili wa mapenzi sina mwili wakupigwa mie"
Niliwajibu wakaangua kicheko chakishambenga
"Hehehhee halooooooo"
Nikawatolea pesa nakuwaonyesha wakashangaa.
"Kwahiyo mwalimu bwanako?"
Sauda akaniuliza yani nina mashoga kibao.
"Hilo jibu pigia mstari"
Nilimjibu wakazidi kucheka.
"Chezea zigo wee mwalimu kapagawa nalo"
"Ila mwezangu unabahati mie mwalimu Sudi bahiri hata pesa hanipi akitoa nyingi elfu kumi"
Alisema Naomi, mara Mwanahawa akadakia.
"Mwezangu nimepata bwana kondakta wewe ananihonga usipime"
Basi tukaanza kuadithiana ujinga hapo kila mtu akimtaja bwanake wengine wanao zaidi ya watano.
Mara mwalimu akaingia wa kike huyo anaitwa Samia akaanza kufundisha hapo hadi alipomaliza akatoka.
Walingia walimu wengine wakafundisha hadi muda wakutoka shule ukafika tukaondoka.
Shule yetu haipo mbali sana na nyumbani napandaga bodaboda kurudi sipendi kutembea kwa miguu kuna umbali kiasi chake.
Basi nilifika nyumbani nikavua nguo za shule nakuvaa kanga nikaelekea jikoni.
"Chakula kipo wapi Leah?" Nilimuuliza dada wa kazi.
"Lisa mdogo'angu hata salamu jamani"
Alisema kiunyonge mwenyewe.
"Yani mijitu iliyotoka kijijini utaijua tu wewe ulimuona nani anasalimiana mjini? Salamu vijinini huko hapa mjini hakuna salamu chakula kipo wapi nile mie?"
Alikoma mwenyewe kuniongelesha akabaki kimya, nikachukua chakula nikala nilipomaliza nikaenda chumbani kwangu nikabeba begi langu hadi chumbani kwa kaka Gedion nikafungua mlango nakuingia nilimkuta kalala kitandani huku laptop ipo mbele anatizama movie.
"Mambo"
Nikamwambia
"Poa ndo nini unaingia bila hodi?"
"Gedion nawewe usharithi akili za babayako"
"Lisa nitakupasua kwanza umefuata nini chumbani kwangu?"
"Bwana nifundishe kusoma ujue mitihani inakaribia nikiferi baba kasema ananiozesha"
Nilimwambia Gedion alicheka sana.
"Bora uolewe tu"
Alijibu nikamtizama tu,
Basi nikatoa madaftari akaanza kunifundisha hesabu mimi mwenyewe kichwa panzi sielewi hata moja ilimradi tu.
Mara akainuka nakwenda chooni ni humo humo ndani, simu yake ikaita kakayangu kanunuliwa simu na laptop mie ndo sina chochote ila mama aliniahidi ataninunulia nikifauru kuingia Sekondari.
Basi nikapokea ile simu jina iliandikwa Clara.
"Haloo my love"
Alisema nikashtuka
"Wewe nani unamuita kakayangu hivyo?"
Nikamuuliza.
"Ooh mie Clara ni girlfriend wa Gedion"
Alisema.
"Mfyuuuuuu sura imekukomaa kama ndimu mbovu, kakayangu mdogo anasoma umejitongoza unataka kumuaribu nyau wewe tena ukome usimzoee"
Nikiwa namchamba Mara kaka akatoka bafuni nakushangaa naongea na simu yake akanipokonya.
"Haloo sorry baby mdogo wangu huyu kichaa....nilikuwa toilet sorry mamy"
Basi akaongea nae akakata simu nakunitizama kwa hasira akanisogelea akiwa amevimba balaa.
"Nani kakutuma upokee simu yangu unamtukana wifi yako kwanini?"
Alianza kufoka.
"Hata siamini yani Gedion nawewe unademu kweli dunia imeisha"
Nilimwambia
"Kwahiyo unanidharau mimi sio rijali au?"
"Wewe bado mdogo baba anakutetea mpole kumbe bora mie mcharuko ila sina mwanaume"
Nikamwambia akazidi kupandwa hasira nakunifuata, niliogopa nikataka kukimbilia mlangoni maana niliisi atanipiga hapo nilikuwa nimekaa kitandani akaniwahi nakunipiga kofi nikadondoka kitandani bahati mbaya kanga ikafunguka na ndani sikuvaa kitu zaidi ya chupi tu.
"Haaa Lisa!"
Alipigwa mshangao kuona mapaja yangu makubwa hasira zote zilimuisha nikamuona ananikodolea macho huku nina maumivu kibao alichonipiga kiliniingia sana nikaanza kulia akasogea karibu.
"Pole Lisa nisamehe kukupiga" Alianza kuomba msamaha.
"Lakini kwanini unakuja kwangu na kanga moja tu unazani mimi sina hisia au halafu jione ulivyo Lisa lakini mipaja yote hii na ilo zigo lako daah?" Aliongea akinitolea macho ya mahaba kabisa nikamuona anaweka mkono nakushika mapaja yangu nilipomtizama sehemu zake zimeinuka niliogopa sana!
"Gedion mimi dadayako lakini" Nikajitetea lakini akunisikiliza akainama naku.....
Itaendelea.
MREMBO MCHARUKO-4
MTUNZI-LATIFA NTANGA
0763361677

Akainama nakulamba mapaja yangu nilishtuka nikaruka, nakumsukumiza akadondokea kitandani nikavaa kanga yangu huku nikimtukana sana.
"Sasa unanitukana nini unaniona mi sio rijali au hadi uje na kanga moja uku?"Akasema
"Mjinga wewe nitamwambia baba umetaka kunibaka"
"Namimi nitamwambia ulikuja na nguo ya ndani tu chumbani kwangu kwanza toka nje sitaki kukuona"
Basi nikatoka nakuelekea chumbani kwangu kulala.
Yani mimi mvivu kufanya kazi muda wote nalala tu hata kuosha kijiko sijui.
Basi nikalala hadi jioni mama aliporudi akaja kugonga mlango nikaenda kufungua halafu kanga nilisahau kuvaa nikainuka mwenyewe tu.
Mama aliponiona akashtuka.
"Wewe Lisa ndo nini unakaa mtupu bila nguo je angekuwa ni babayako"
Alisema akinishangaa
"Mama bwana nimeisahau kanga kitandani"
Niliongea hapo nina usingizi bado.
"Lisa wewe utakua lini jamani loh"
Aliongea mama nakuondoka nikafunga mlango nakuendelea kulala.
Saa mbili usiku nikashtuka mlango unagongwa tena nikainuka kwenda kufungua kumbe ni kaka Gedion.
"Unaitwa ukale chakula tayari"
Alisema akiwa mlangoni akashangaa aliponiona na nguo ya ndani bado hapo alikuwa mlangoni akaingia nakufunga mlango.
"Sasa umefuata nini ndani si ushasema nimekusikia"
Nilimwambia.
"Yani Lisa bado ujavaa nguo tu?"
Akaniuliza.
"Si nipo chumbani kwangu inakuhusu nini?"
Nikajifunga kanga nakukaa kitandani.
"Hivi Lisa kweli huna boyfriend wewe?"
Aliniuliza akinitazama
"Sina bwana hadi nimalize shule"
"Ngoja nikutafutie rafiki yangu mmoja handsome uwe nae sawa"
Alinambia.
"Halafu Gedion sipendi ujinga wako ujue"
"Sasa hupendi nini mbona mimi nina mademu watatu"
Hee nilishtuka sikuamini yani kakangu mpole huyo hadi wazazi wanampenda kumbe ni muhuni balaa nilimtazama sikumpatia jibu mwisho nikainuka nakumwambia twende tukale.
"Vaa nguo basi baba yupo uko"
"Bwana kwani nipo uchi si nimejifunga kanga atajua ndani nimevaa nini ebu twende"
Basi tukatoka hadi sebuleni nikawasalimia nakukaa tukaanza kula.
Tulipomaliza kila mtu akaingia chumbani kwake kulala.
Asubuhi kulikucha nikajiandaa kwenda shule.
Siku zilizidi kusonga hadi tukafika mwezi wa tisa tukafanya mitihani yakumaliza darasa la saba nilishukuru sana maana nilikuwa sipendi kuvaa uniform za shule.
***
Kwasasa nikawa nipo tu nyumbani nikingojea majibu.
"Lisa mwanangu nataka nikupeleke ukasomee pre form one"
Mama alinambia nilinuna sipendi shule nitaenda kuzurura saa ngapi sasa.
"Mama jamani sasa kama nitaferi je?"
Nikamuuliza
"Utafauru mwanangu Mungu atakusaidia sawa" nlizidi kuchukia nikamkubalia tu.
Basi kesho yake akanipeleka uko shule ni Buguruni na kwetu ni ubungo external.
Nikaanza masomo rasmi nilishukuru hatuvai nguo za shule zaidi t-shirt yao iloandikwa jina chini unavaa nguo yoyote mimi nikawa navaa suruali maana hiyo ndo nguo ya heshima kwangu na baba alinikataza kuvaa vimini.
Siku moja mwalimu mmoja anaefundisha hisabati akaniita muda wakuondoka huo nikaenda ofisini kwake.
"Hujambo Lisa?"
Alinisalimia
"Sijambo tu"
Namimi jeuri simwamkii mtu.
"Hivi Lisa unaboyfriend?"
Akauliza uyo mwalimu
"Mi bado nasoma boyfriend wa nini?"
Nikamjibu nikiwa nimechukia.
"Waoo vizuri sana, ila nimekupenda sana natamani niwe mpenzi wako" aliongea huyo mwalimu ambaye ni mkubwa hakuwa kijana alinichefua.
"Mfyuuuu lione babu zima hovyo ujana wako ule na nani uzee uniletee mie ukinifia kifuani je unataka kunipa kesi tena unikome usinizoe"
Nilimchamba huyo mwalimu hadi aliona aibu.
"Basi Lisa basi yaishe"
"Siku nyingine ukirudia nakujazia watu hapa"
Nilimwambia nikainuka nakuondoka kurudi nyumbani.
Basi nikafika nakuweka begi ndani nikaenda mezani kula.
Mara nikasikia mdundiko nje unapita matarumbeta yanarindima wazimu ukanipanda nikaingia chumbani kuvua ile suruali nikavaa taiti fupi na kanga juu nikatoka mbio getini nikapishana na baba alierudi kazini sikumjali nikaongeza mbio hadi kwenye mdundiko nikaingia kati nakuanza kukata mauno mara nikawaona mashoga zangu Husna na Mwahija wee nilifurahi.
"Shogayangu umekuja nawewe babayako ajakukataza?"
Aliuliza Husna.
"Anikome babu yule akamkataze mkewe asinichunge mie sio n'gombe"
Niliwajibu hapo tu ndo walinipenda kwa mcharuko wangu basi nikaendelea kuzungusha kiuno kama sina akili nzuri kanga ikadondoka sikujali hadi chini nikalala nakata mauno ya nguvu.
"Haloooo hapana chezea Lisa zigo weweeeee!"
Watu wakaanza kushangiria mie ndo bichwa linakuwa kubwa kama tv ya chogo nazidisha miuno hata harusi sijui ya nani, nilicheza wee hadi nikachoka mdundiko ulienda mbali toka ubungo external hadi ubungo maziwa mbali karibu na stand ya mkoa nilichoka hoi nikaamua nirudi hapo kanga sina nipo na tait fupi na umbo langu balaa sasa akili zikanijia nikakumbuka getini nilipishana na baba na tangu nitoke nyumbani saa kumi sasa hivi saa kumi na mbili giza limeanza kuingia kibaya zaidi kanga sijui nimetupa wapi.
"Mamaaa weee leo baba atanipika supu mimi"
Nilisema nikiisi miguu haina nguvu nikakaa chini mara nikasikia naitwa kugeuka ni...

Elfu mbili stori yote. 0719618409 Lisa Ntanga.

Post a Comment

Previous Post Next Post