RISASI YA KICHWA 02



Asubuhi na mapema Abdi ndo alikuwa wa kwanza kuamka na huku kitandani akimuangalia Rose akiwa bado amelala kwa uchovu wa la penzi walio peana Jana. Kati ya Rose na Abdi baada ya kupambazuka mapema. Genero Tonga aliwaita vijana wake wawili kati ya snepear na Abdi na kuanza kuwapa ramani nzima ya kwenda kuvamia bandarini .

" sneaper wewe utakaa juu ya kontena moja wapo ambao litakuwa lina angaliana na meli ambao tunakwenda kuvamia kwa ajili ya kutupa ulinzi na usalama pale bandari na ukiona mtu wowote sio moja wapo kati ya kikundi chetu unachotakiwa ni ku mshoot . sawa" alitoa maelezo genero kwa kijana wake mlengaji wa masafa marefu.

Sneaper alitikia kwa kichwa kwa kuwaashilia ameelewa.

"Abdi mimi na wewe tutaingia ndani na kuwamaliza walinzi wote walikuwa katika ile meli na kuhakikisha tuna beba mali zote." Na pia akatoa maelezo kwa abdi na Abdi akaitikia kwa kichwa kuwashilia ameelewa.

" kwa upande wa rose yeye ata takiwa ku take cover kwa sehemu ya nje kwa usalama zaidi". Alitoa maelezo ya kuvamia ile meli ambayo inasadikika ipo bandarini na ile meli ina vitu vingi vya utajili.

Ilivo timia mida ya jioni kwa ajili ya mandalizi na wakati snpear akiwa na mwezake chodo wakiwa wanakoki na kuzisafisha bunduki zao za masafa marefu. Snepear alionekana hasila sana mpaka mwezake akawa na wasi wasi.

"Vipi ndugu yangu leo haupo sawa kabisa au haupo tayali kwenda kukamua"? Aliuliza chodo.

"Hapana niko sawa ila usiku wa leo wa uvamizi nataka nifanye kitu cha ajabu ambacho kitamfanya Rose amsahau Abdi hapa camp na mimi ni ipate njia ya kumchukua Rose kwa urahisi." Alizungumza ivo sneper huku akitazama bunduki yake ya masafa marefu.

"Yani una maana unataka kumua Abdi"? Aliuliza chodo.

"Yesssa nataka nimuewe na Tina nitampiga risasi ya kichwa kabisa.maana nikisema ni mshoot mahala tofauti na kichwa na hisi atapona Tu.

"Lakini Abdi ni kijana mwenye uwezo wa vitu vingi Tena unamwitaji umuondoshe sawa na jua ukimuondosha nafasi yake utaishikilia sindio". Aliuliza chodo.

"Hapana mimi shida yangu kubwa ni mpate rose peke yakenm na sio Kitu chengine." Alizungumza sneaper huku akimaliziakuweka bunduki yake sawa.

Abdi naye akiwa anajiandaa na kuweka sawa pistor zake na kuvalia vizur huku akiwa chumba chake mala akaingia Rose na kumkuta penzi wake anajianda kwa ajili ya kwenda kufanya uvamizi.

"Mpenzi usisahau kuwa makini ukiwa katika vita"alikuwa anaongea Tina huku akiwa ameshamsogelea mpenzi wake Abdi huku akimtomasa tomasa mwili na akisogeza mdomo wake kalibu na mdomo wa Abdi na kuaza kupeana mate. Walipeana mate mpaka wakafikia Hatua ya kufamua kufanya mapenzi na Abdi alimnyanyua rose na kumuweka ukutani na Rose akajiogeza fasta na kuivua chupi yake na Abdi akatoa dudu washa wake na kuaza kumsogua Rose vilivo mpaka pale alipo pata bao moja. Yakiwa hayo yote yanatokea katika chumba cha Abdi.
Sneaper alikuwa amesimama tu nje akisikia miguno ya kimahaba ya rose wakipeana penzi na Abdi. Snepear roho ilikuwa inamuuma sana tena sana na hasila zilimpanda mpaka mikono yake ilikuwa ina mtemtemeka kwa hasila zake.

Ilivo timia mida ya saa mbili usiku . vijana wote shupavu na wasikivu walitoka na genero Tonga kuelekea bandarini wakiwemo na vijana wake wa kina Abdi na sneaper pamoja na rose kwa ajili ya kwenda kuivamia meli ilikuwa na mizigo ya mali na mali izon ni zamueshimiwa rais alizo zawadiwa na rafiki yake aliyekuwa Misri.................



TUTAENDELEA 

Post a Comment

Previous Post Next Post