TEGO 🔞🔥🍑💰 21----26 MWISHO


Epsod 21

‘’aliehusika na tatizo lako ni mototo a huyu mama ‘’……
Endele nayo……
‘’Ha mama yangu! ‘’ Nilishtuka na kubaki nikishika kichwa kumbee
nimdhaniaye sie nilliona dunia imenielemea nilishukuru na kuinuka na
kutoka

‘’ We sanji vipi mbona sijelewwa hapa mwanangu kafanyaje’’
Nilimwangalia na sikuweza kumjibu nilishika njia na kurudi nyumbani
ilikuwa ni majira ya saakumi nna mbili hivi ya jioni nilifika
nyumbani ila mke wangu heppy sikumkuta nilifungua mlango kwa kutumia
ufunguo wangu wa hakiba na kuingiia ndani mawazo yalinitawala sana
sikuwa na la kufanya
‘’Hivi kumbe mbaya wangu ni amina?’’,;’’Na nitaanzaje kulala na amina
mimi wakati maama yake tayali nimeshalala nae?’’
‘’Nitamweleza vipi kuhusu hili ili niweze kupona au nipite naye bila
yeye kujua ngoja nifanye hivyo ‘’
Nilikuwa na mawazo sana sikupata usingizi wakati wote huo mkewangu
happy alikuwa hajarejea nyubani na kila nikipiga simu yake ilikuwa
haipokelewi sikulala hadi saanne ndipo happy aliporejea nyumbani
 ‘’Wewe happy unatoka wapi sahizi ?’’
‘’Acha kuniiuliza maswali yako ya hajabu kwani ndoa yako sijakuletea ?’’
‘’Hujajibu swali langu unatoka wapi sahizi?’’; Niliuliza na kushuka kitandani ,
‘’Sitaki maswali wajibu waangu ni kukuhudumia ndoa yako nimekuletea
hii hapa uitumie ila sio kunichunga’’

.; nilimshika na kumpiga kibao siku hiyo nilishindwa kuzuia hasira
zangu nilimpiga sana nilimnyang’anya funguo ya nyumba na kila nikitoka
kwenda kazini nilimfungia ndani
siku iliyofuata hivi majira ya jioni nlikata shauri la kwenda kwa
akina amina nilipofika nilimkuta mama
amina akiwa na mwanae
‘’eheeee umekuja sasa kumchukua mwanangu eti’’ ; nilipokelewa na
maneno machafu sana yaliotoka kwa mama ake amina mbele ya amina hadi
yalimfanya baba ake amina atoke kusikiliza nashukuru mungu alinitetea
na kunipa chansi yaa kuongeaa na amina nilitoka nae nje kidogo ya
pale na kupata fursa ya kongea nae,
‘’amina samahani kwa usumbufu, naimani ulikuwa kila siku unahitaji
kuwa na mimi ila nilishindwa kuona umuhimu wako ila naoomba nisamehe
nimefahamu kuwa wewe ndie mwanamke sahihi sana kwangu…’’

‘’hebu nitolee ngonjera zako hizo ungeniona sahihi usingekubali niumie
muda wote ule niliokuwa nakuhitaji ila sahivi sikufichi nina wangu
tena nampenda sana kwahiyo sihitaji kuwa na mtu anaenitesa hisia
zangu’’……..



TEGO

epsod 22

endelea nayo…….
‘’Nisamehe amina najuwa ni ngumu kunielewa ninachokwambia kwa matendo
niliyokufanyia ila ndio ukweli nilionao’’,; nilijitahidi sana
kumbembeleza amina ila ni kama nilikuwa natwanga maji kwenye kinu
lishindwaa kunielewa aliondoka bila kunikubalia hapo ndipo
nilipomuwaza rafikiangu jafe maana maji yalinifika shingoni sasa.
nilikamata njia na kuelekea kwa akina jafe nilipofika sikumkuta
nilikamata njia na kurudi nyumbani nilishindwa umtaafuta kwenye simu
yangu kwa kuwa baada ya ugomvi uliojitokeza nilifuta namba yake ila
niijutia kitendo nilichokifanya

Ilipofik a jioni nilienda tena kwake kwa bahati nzuri nilimkuta
nilimuomba nitoke nae nje ya pale na kwenda sehemu moja hivi
iliyokaribu na pale kwake kulikuwa na bar hivi tuliingia na kukaa
ili kupata japo kinywaji, kwakuwa nilikuwa situmii kilevi nilichukua
soda na kuketi kwenye kiti na kuanza kuongea na kummsimulia mkasa
mzima …..
‘’Dah! ndugu yangu upoo kwenye mtiani mkubwa sana ili fumbo ni ngumu
sana kulifumbua ‘’

Ndio hivyo ndugu yangu isaidie maana sioni kitu sahihi cha kufanya
nona kila kitu ni kibaya ndugu yangu naomba nishauri

‘’Ndugu yangu mimi cha kukushauri ni hiki nenda kamweleze kila kitu
amina mweleze ukweli wote kuhusu yaliotokea kisha mwangalie atasema
nini maana yeye ndio tiba yenyewe alafu ukishatoka hapo kamueleze
mama yake amina ili isije kuwa aibu yani faanya hiki kitu wakiwa
wote wameridhi. sawa? ‘’

‘’Ila ndugu yangu ya hitaji moyo wa ujasiri sana maana hapo nacheza
na maisha unajua na utu’’
‘’Amna we fanya hivyo utaona maana ukweli ndio tiba’’;
‘’Sawa nitaaajaribu; tuliongea na kunywa kinywaji ghafla nilimuona mke wangu…….


TEGO

Epsod 23
 Ghaafla nilishtuka baada ya kumuona mke wangu ……endelea nayo

… baada ya kumuona mkewangu akiwa na wenzake wakifika pale kwenye bar
na kila mtu alikuwa na mwanaaume ambae alikuwa ameshikana nae
‘’Ha! yule si mke wangu mimi ? ;’’
‘’Ndio mke wako’’, jafe lijibu huku akitkisa kichwa
‘’Ila mbona mke wangu nimemfungia ndani nilipoangalia funguo ninazo
mimi zakwake na zangu ?’’
Niliinuka na kusogea karibu yao ili kuthibitisha nilisogea na
kukuta wanakunywa pombe na kilichonishangaza alivaa nguo nusu uchi
ambayo pale nyumbani sikuweza muona amevaa , Nlisogea kwa ukaribu
sana

‘’Happy happy happy’’… niliita ili kuthibitisha kama ni yeye uusije
wakawa wamefanana
Nilishtuka baada ya kuona amegeuka kwa kuita jina lile aliniangaliaa
na kupotezea nilimshika na kumvuta aliaguka chini huku jafe akiwa
jirani yangu

‘’We vipi bona wa ajabu sana’’.;aliongea huku akionyeha kama hanitambui,
‘’Happy si nilikufungia wewe au,’’
We unadhani kunifunga na funguo kuondoka nazo ndio umenikomoa umesahau
kuwa unafunguo mbili kwa kila mrango wakati kila mlango unafunguo tatu
we subulia chako nikuletee nyumbani ‘’mwanaume gani kila tukitaka
kufannya Napata siku zangu umekuwa mwezi wangu ukinisogelea basi
hahahahah, alicheka na kutoa funguo na kunionyeesha

Nilimshika na kumpiga sana maana sikuamini kuwa anajiuza nilimpiga
ila jafe alinishika na kunizuia allinipeleka hadi nyumbani kwangu
maana nilikuwa na hasira sana, siku hiyo happy hakurudi nyumbani
kulipookucha nilienda kwa akina amina na kumweleza amina yote
yaliotookea
‘’Hi! Umelala na mama angu ‘’
‘’Ndio niamini ila alinilazimisha sikutaka kufanya hivi ndio maana
sikutaka kuwa na wewe niliona nitakukose heshima ila kwa hili lazima
nije nikwambie maana wewe ndie tatizo na wewe ndio dawa ‘’

Alilia sana amina baada ya kusikia yale niliyoyasema alinillaaani
sana na hakuweza kukubaari kuwa na mimi niliweza kurudi nyumbani na
huku nikiwa naona kabisa nazama kwenye shimo huku msaada nauona
Mara nilisikia mlango ukigongwa tena kwa guvu sana nilisogea na
kuufungua nilisukumwa na kuanguka chini………..TEGO

Epsod 24

Endelea nayo……

nilianguka kama roba la mahidi’’ tiiiii’’
Nilianguka na kusimama walikuwa ni wanaume watatu na mwanamke moja
ambae ni happy

‘’ Vipi nyie mbona amna heshima kenyeyumba za watu’’nilikuwa
nimekasirika sana kwa kile kitendo ,
‘’Sisi ni askari wa polisi unashikiliwa kwa kosa la kupiga watu bila
sababu naa kuwaibia pesa’’…
‘’Mimi niibe pesa? na huyu niliempiga ni mke wanguu’’ ; nilijaribu
kujitetea ila ilishidikana maana nilikamatwa na kupelekwa kituo cha
police nilikaa ndani ya sikutatu alinitembelea rafiki yangu jafe

‘’Rafiki yangu pole sana kwa yaliokukuta’’
‘’Asante sina rafiki yangu yaani hapa sijui nitatoka vipi’’ ;
aliniletea chakula nikala
Usijari rafiki yangu suburi nifuatilie mdhamana juu ya kesi yako ;a
liinuka na kwenda kwa police ila hakutokea tena kunipa jibu kuwa
amepata jibu lipi ila baada ya muda alifika happy


‘’Vipi wewe mume bwege unaeoa mwanamke alafu hujui kumtumia mwenye
alam mwilini mwako’’
Nilimwangalia tu sikuweza toa jibu lolote kuhusu yeye aliongea maneno
mengi sana ya dharau ila mimi sikumjibu chochoote kile aliongea
alipochoka aliondoka siku iliyofuata asabuhi sana niliitwa na
police mmoja

‘’Nani sanji exavery hapo’’ ; aliuliza maaana tulikuwa wengi kidogo
niliinuka na kusogea mbele

‘’Alifungua mlango na kuniamuru nitoke nilitoke na kufika nje
niliwakuta jafe akiwa pamoja na amina

‘’Kunzia sasa utakuwa huru’’; aliongea police mmoj hivi na kunikabidhi
vitu vyangu vikiwemo simu, mkanda na viatu na kuondoka nilishukuru
sana akina amina jafe na mama amina

‘’Sanji jana dhamana ilishindwa kupatikana ilihitajika milioni moja
ili uachiwe ilinibidi niombe msaada kwa ninaowajua nimepata msaada
kwa familia hii’’yalikuwa ni maneno yalionitoa machozi sana hasa
nikiangalia nilichokifanya, Nilipiga magoti na kushukuru sana huku
machozi yakinitookka maana msaada wao umeniokoa



Ila sanji mi amna kanieleza yoote samahani sana sanji ni pepo tu
alinipitia nisamehe sana amina samhani sana nimekosea sana nastahili
adhabu kwenu samahani sana,mi kwangu haina shaka we nenda
mkapate matibabu ,

 Tulishika njia na kwenda kwa mganga na kupata dawa nillirudi nyumbani
nilikuta mlango upo wazi nillipofungu mlango nilishtuka……….

TEGO

Epsod 25

Endelea nayo…….

….nilishtukaa sana baada ya kuona barazani vitu havipo niliingia
haraka chumbani nilikuta kitanda pekee ndani kwangu nilichoka sana
ila nilipoangalia kitandani niliona funguo zimewekwa kitandani,
niliposhika na kuziangaia niligundua
‘’ahaaaa ok atakuwa aliefaanya hivi ni happy’’
nillishindwa kwenda popote kwa sababu nilimuo bila kwenda kwa wazazi
wake happy na nilikuwa sikujiui kwahiyo nilimuoa yaani nilimchukuwa
na kuishi nae siio kihalali

nilishajuwa kuwa nimepigwa siku iliofuata nilielekea kazi na kukuta
ofisi yangu ikiwa amepewa mtu mwingine nilienda kwa bosi

sanji hatuwezi kukaa na mfanyakazi mhalifu humu ofisini sawa kwahiyo
nafasi yako tumempaa mtu mwingine ,niliumia sana ila sikuwa na jinsi
niligeuka na kutoka nje ile natoka tu nilihisi kitu kimenichomaa
kwenye mbavu yaani kama kichomi hivi

kilinichoma kwa muda na kuacha niliondoka na kurejea nyumbani huku
sina chochote ilinibidi niwe n n naenda kula kwa akina jafe nna
kurudi nyumbani

sasa lile tatizo lilikuwa kubwa sana kilikuwa kinanichoma sana
nilienda hospitali nilionekana sina tatizo lolote katika mwili wangu
illaa kiichonitisha kuwa kilikuwa kinachoma na kisha baada ya siku
kinahama mala kibane kifu mala mguuni mala kwenyemgongo nilikuwa ni
mtu wa kuumwa sana

ila sikukata tama kwa amina ili kumuomba awe mke wangu maana sina
nia sahihi zaidi yaake nilimuombba msishowe alikubali nimoowe
alisahau yote yaliopita

siku moja nilikuwa natoka nyumbani nikiwa barabarani ile hooma
ilinichoma kwenye mgongo nilishindwa kuvumilia nilianguka chini na
kugalagala kama mototo mdogo nilikuwa nasikia maumivu makali sana
ambayo sikuwezaa vumilia ilibidi nilie kama mototo

alitookea mtu mmoja na kuniinua na kuniangalia ilimueezea hali hlisi
ya homa yangu

‘’ndugu yangu hapo ilo ni tego’’ nilishtuka sana

mungu wangu mbona kila muda mimi tu hiki kizazi cha tego au mbona
kila siku mimi;niliwaza na kuwazua nilifikiria ni nani niliemkosea
nilikumbuka kuwa niliemkosea ni baba ake na amina……….


TEGO

Epsod 26

Niliama na kueelekeea kwa akina amina nilipofika nilimkuta baba ake na
amina niliaguka kumuoomba msamahaa ka niliyoyafanya nilitubu dhambi
zangu

Ila nilishtuka kwa umuona baba ake amina alikuwa hana time na mimi
nlilishaangaa sana

‘’Kijana naona umeniomba sana msamaha mimi ila mbona haujanikosea’’ ;
sikuamini nilizidi kumuoomba msamaha ila alizidi kunisisitizia kwa
yale yote niliyomuelekeza kuwa sijamkosea,

‘’Kijana hujanikoseaa uliowakosea ni wale aawili,’’
‘’Kivipi nimewakosea ale wawili? Nilijiuliza

Mimi huyu ni mke wa kaka angu ila amefariki mda mrefu sana, baada
ya kuona wanamaisha magumu huko ijijini niiliammua kuwachukuwa naa
kuwaleeta mjini kuishi nao mke wangu mimi yupo nje ya mkoa kikazi
kwahyo hata kipindi nimesafiri nilienda kwa mkee wangu kwahyo kijana
mimi hujanikosea
Nilishtuka sana baada ya kusikia maaneno yale mana sikuaamini
nilichosikia masikioni mwangu nilisimama na kuwaaommba radhi
walikubali radhi yanu na kwenda niliwaeleza na homa yangu na kuelekea
 kwa mganga ili kupata tiba



Kijana yaani umeekuwa ni mtu wa kuwindwa sana unatego baya sana
mwilini wako lingekuua endapo kama ungekaanalo dani ya wiki moja
mwilini mwako

Sasa hili tego limetokea wapi? Niliuliza ili nnijuwe ukweli
‘’Hili tego umetupiwa wafanyakazi wenzio ulikokuwa unafanyia kazi’’

‘’ mimi namkosi sanaa mganga nisaaidie’’       

Nusijali nakusaidia ila kijana msaada wangu mimi nakupa dawa ila pia
umemsahau sana mungu kijana mungu ndio killa kitu mkumbuke mungu ndie
muweza wa yote mungu ndie kila kitu

‘’Mh hadi waganga wanatambua uwepo wa mungu kweli mungu anaguvu ‘’
Nulijiongelea myoni mwangu nilipopata dawa tuliondoka naa kurudi
nyumbani nilliweza anza kuswali sara zangu na niilizingtia misingi ya
 imani ya mungu na kuswali swala tano kiufasaha na nilifunnnga ndoa na
amina pia tumeuzaa nyumba yetu niliokuwa nikiishi mwanzo tumejenga
nje ya mkoa ambao anaishi mama amina na shemeji yake na sahivi maisha
yanaennda safi kabisa na tunatarajia kupata moto
Mungu ndio kila kitu asante

Mwisho
By dannysimulizi

Post a Comment

Previous Post Next Post