IN'BOBO 06. lovestory

ilipoishia.

"vipi tena alice"nilimuuliza.

"Samahani kuna kitu nilitaka kusahau kukwambia......"

"ennhee nakusikiliza"

endelea.

Baada ya mimi kuongea hivyo,Alice alinyamaza kwa muda kabla ya kuongea....

"Kwa wema wako lucky.....ipo siku nitakuwa na wewe"nilisikia maneno hayo kutoka kwa alice.nakumbuka siku fulani aliwahi kunambia kauli kama hii,aliyonambia sasa,na nikashindwa kuing'amua.leo uvumilivu ulinishinda nikaona upo umuhimu wa kuhoji kuhusu maana halisi ya usemi huu ambao nimeshausikia karibu mara mbili sasa.

"alice,haijawa mara ya kwanza kukusikia ukisema hivi.....umekuwa ukimaanisha nini...??"nilihoji,juu ya kauli ya alice aliyokwisha kuiongea muda punde.kwanza alice alijichekesha kijicheko cha kike kabla ya kunena...

"Ipo siku utakuja kujua huwa namaanisha nini"

"No,ipo sababu ya wewe kunifahamisha na ndo maana nimekuuliza."

"siwezi kukuambia namaanisha nini,hadi siku nitakaporudi masomoni....."

"Duu,sawa lakini ujue tayari umeniacha katika maswali mengi sana,kila siku nitakuwa mtu wa kujiuliza kuhusu kauli yako."

"usiwe na hofu lucky,utakuja kujua tu."

"sawa bhana,nikuache ujipumzishe mapema kwa ajili ya safari,mara patakapo pambazuka."

Huo ndo ulikuwa mwisho wa mazungumzo yangu na alice,msichana niliyefahamiana nae kwa muda mfupi baada ya yeye kukosea kutuma pesa zake,matokeo yake akanitumia mimi.huo ndo ukawa mwanzo wa kufahamiana kwetu.

Usiku huu sikupata usingizi kabisa,kwani nilikesha nikitafakari baadhi ya mambo kadhaa ambayo mara nyingi tulikuwa tukiyazungumza na alice.lakini kubwa zaidi lililokuwa linautesa ubongo wangu ni kufikiri kuhusu ile kauli ambayo imekwisha jirudia kutamkwa na alice mwenyewe.hata usingizi uliponichukua sikufahamu,zaidi nilikuja kustukia kumeshakucha.

Asubuhi ya saa mbili na robo ndipo nilikuwa naamka,chapu chapu nikajiandaa tayari kuwahi kazini kwani nilikuwa nimekwisha chelewa sana.sikuchukua muda kujiandaa,ndani ya dakika kadhaa nilikuwa ndani ya daladala nikielekea job kwangu.Katika kilinge changu cha biashara nilikuta wateja ambao walikuwa wamenizoea,wakiwa wamekaa wakinisubiria.bila kupoteza wakati nilifungua biashara yangu na kuanza kuwahudumia mmoja hadi mwingine mpaka wote walipomalizika.

"helloo lucky"ghafla niliitwa kipindi nilipokuwa bize na kupanga baadhi ya matunda yangu juu ya turubai.ni sauti ambayo haikuwa ngeni kwangu,kwa sababu kipindi kifupi nilipopata muda wakuwa na mmiliki wake niliweza kuinakili katika ubongo wangu vyema.ni 'Mariana' ndiye alikuwa akiniita.baada ya kugeuka nilimzawadia tabasamu mwanana sambamba na kumpa mkono wa salamu.nakumbuka tangu nimeachana nae ile juzi sikuwa nimemtafuta mpaka leo hii.

"karibu,karibu sana mariana"niliongea sambamba na kumgea mkono.

"asante,naona uko bize mwenyewe....."

"yeep,si unaelewa mambo ya kuchakalika tena huwa yanataka umakini mkubwa....enhe nambie za tangu juzi"niliongea,kisha nikagusia kuhusu habari za tangu siku tulipoachana.

"Nzuri sijui za kwako"

"Ziko poa sana tu,ndo kama hivi naendelea kukaza"

"eti eeh sawa bhana......ila mmnhh!!ulichonitenda lucky wewe,we sawa tu,yani tangu juzi ata ka'txt kalikushinda kunitumiaaa??!!!"mariana aliongea kwa kuhoji.

"Amna bibie mishe zinazingua tu sema tuko pamoja usijali"

"poa bhana,vipi mpenzi wako hajambo?"Mariana alianza maswali ya kikuda.

"hajambo"nilimjibu kwa ufupi.

"ninavyohisi mwanamke wako ni mzuri sana kuliko mimi,manake sio kwa kujibebisha kule siku ile"

"daa hizo mada zako ziishie hapo,utanikela bure,manake mi huwa sipendi kuzungumzia maswala ambayo tayari yamekwisha pita"

"Kwani vibaya kuuliza kuhusu hilo jamanii?"

"sitaki kumuongelea yeye,kwa sababu hahusiani na mazungumzo yetu."

"sawa mwaya,leo unafunga saa ngapi..... nikusindikize"

"Umsindikize nani mimi?au"

"ndiyo wewe lucky jamani kwani naongea na nani"

"Hahahaha.....maria bhana,kunisindikiza huko veeepee"

"kukusindikiza tu kama kukusindikiza,au we umeelewaje...."

"Nimeelewa tu ninavyojua mimi ila duuh!!aisee utanisamehe kwa hilo,haitawezekana mariana.fuata ratiba zako tu."

"bhaaana usinifanyie hivooo,mi leo nakwenda na wewe,plz usinikatalie"

"hapana,kuna mahala naenda,na siwezi kuongozana na mtu yeyote,nakwenda mwenyewe"

"Mwenzio nimekumisi goodlucky,yani nimekumisi mno ....,naomba usiku wa leo tuwe wote"

"acha masikhara mariana,huwezi kwenda kwangu kwa sababu mi na wewe hatujawa na mahusiano.kitendo cha juzi kilichotokea hakikuwa tegemeo langu kabisa,na nimakosa kwangu,kwa sababu nilimkosea mwanamke wangu.kutokana na hilo mi nakuomba ukaribu na mimi kama vipi uuache."

"mbona umefika mbali hivyo....lucky,kukuomba kwenda kwako ndo umeamua kuongea yote hayo....au nimekosea....."

"sijajua,ila nakuomba uachane na mimi kwa wema,sio siri unaniweka katika wakati mgumu sana......mahusiano yangu yataingia dosari kwa sababu yako,mi sitaki Hilo litokee.naomba uniache mariana mi nina mwanamke wangu."

"kwa hiyo unanikataa lucky si ndio."

"sio nakukataa,tatizo ninaye wangu tayari.wewe umekuja kuingilia penzi la mwenzio,licha ya hivyo mimi na wewe hatukutongozana,kisha tukubaliane kuwa wapenzi,ila ashki za miili yetu ndizo zilizitufanya tukafanya ngono siku ile......"

"hayo yote nayajua lucky,lakini ndo hivyo mi nishanogewa na penzi lako.kuwa na mimi bhasiii"

"siwezi maria.nisikudanganye.baki kuwa rafiki yangu tu.mapenzi tuyaweke kando"

unajua kujishaua kote huku nilikokuwa najishaua mbele za huyu kimwana,nilikuwa na sababu.nilitaka kumpima kama nae kanasa kwa tunda man au anazingua,mwishoni nilikuja kuhakiki kuwa ni kweli mariana alikuwa ameingia kichwa kichwa kwenye anga zangu.niliapa kuzidi kumtia wenge la kunipenda huyu binti.

******

Home baada ya kurudi nilikuwa jikoni nikiandaa maakuli ya usiku,mara mlangoni kwangu kuna mtu akabisha hodi.....

"Pita ndani,mlango uko wazi"niliongea kumpa ruhusa mgongaji mlango,aingie ndani.hee nilishangaa kumuona yule mdada ambaye nilitoka kumfungia dishi la king'amuzi chake siku kadhaa zilizopita.ujio wake ulinifanya niwe na maswali mengi sana ya kujiuliza kichwani kwangu,kiasi kwamba nilishindwa kuelewa ni kipi haswa kilichofanya usiku huu kigori huyu aje kwangu.mbele yangu kwa sasa alikuwa amekaa mwadada Sophia,huku akiwa kimya pasipo kuongea kitu.

"karibu bibie,tuko hapa tunajaribu kurekebisha makulaji....."nijifanya kujiongelesha nikiwa bize kucheza na sufuria zangu.

"Asante,kumbe nilikuwa nakudharau bure tu"

"kwa nini"

"unajua mtu akikutazama kwa nje,anaweza sema kwamba uko na maisha mazuri sana,ambayo pengine ata kupika unaweza ukawa hupiki.kumbee akhaa mtoto wa watu uko vizuri tu mwaya"

"Kawaida,siunajua yatima huwa hadeki.nakomaa mwenyewe tu"

"mmnnh!!haya,........kwa hiyo tangu siku ile ata kunitembelea hutaki jamani"

"Muda ndo shida,ningeshakuja kitambo sana"

"muone ulivyo muongo,ungekuja kweli wewe? si polojo tu unaongea ili unifariji"

"Nakuapia tena,ningekuja"

"oky.....,kwa hiyo Leo kidume unajipikia mwenyewe duuuh umetisha......"baada ya Sophia kuniambia hivyo nilicheka kidogo kisha nikatikisa kichwa,ishara ya kuonesha kuwa huyu binti hakuwa na stori za maana,zaidi ya ushakunaku tu usiokuwa na mbele wala nyuma.ni kama dakika ishirini na tano zilikatika tukiwa mimi na sophi tukipiga soga mbili tatu.muda wote huo niliokaa na sophi,huyu sophi hakuwa ameongea cha maana zaidi ya mambo ya kijinga jinga tu.

"tunda,mi naenda bhana,ugali wako ata hauivi,nimeshakaa hadi nimechoka eti"Sophia aliongea hivyo huku akiwa wima tayari kutaka kuondoka.

"mbona namalizia hapa,sema we ndo hutaki kula kwangu,unasingizia kuchoka....kaa ungoje menu mdada"

"Akhuu,kwanza mi silagi chakula kilichopikwa na mwanaume.nyie hamjuagi kupika."

"kumbe"

"Ndiiyoo kwani uongo"sophi alinena,nikaona daa anazidi kuniletea jamu room kwangu ikabidi nimwambie asepe tu kama kaamua mwenyewe.

"Alafu nilitaka kusahau kitu,ebu nigee namba yako.....kuna muda huwa nasumbuka sana kukutafuta......"

"ata nikikupa namba yangu,hutoweza kunipata kirahisi.huwa sishindi maeneo haya"nilijaribu kumkwepa

"We nipe,ata kama utakuwa wapi,ikitokea nina shida na wewe nakufuata huko huko."

Sikuwa na kipingamizi tena,ilibidi tubadilishane namba kati yangu na Sophi,baada ya hapo sophi akaondoka zake huku akiniacha kwa kuniambia kuwa eti angenitafuta Kabla ya yeye kulala(yani alimaanisha kwamba muda mchache kuanzia wakati huu angenitafuta),bhasi mi nikabaki namalizia kupika pika,nilipomaliza nikauhifadhi msosi Wangu kabla ya kwenda kuoga.niliporejea nikaufakamia ugali wangu na dagaa,nikahakikisha nautafuna kisawa sawa Mpaka umalizike wote.nilipojiridhisha kuwa tumbo langu lilikuwa limeridhika kupokea matonge,niliacha kula kisha nikaondoa vyombo,tayari kujiandaa kulala.

nikiwa juu ya kitanda changu,nilishika simu yangu ili angalau nichati na marry kabla ya kulala.

"Njoo tulale miss"nilimuanza hivyo.lakini hakukuwa na majibu yaliyorudi kuijibu meseji yangu hiyo.zikapita dakika kadhaa mara mlio wa ujumbe kuingia katika simu yangu ukasikika.

"twende tukaoge mkaka"nilikutana na ujumbe huo kutoka kwa sophia.

"asante,nimeshaoga tayari"niliujibu ujumbe wa sophi.

"twende nawe,au unaniogopa?"

"nikuogope kwani una mapembe?"

"hata kama sina,we utakuwa unaniogopa tu,mbona ata nilivyokuja kwako ulikuwa hunitazami"

"haikuwa lazima kukutizama,alafu fanya ukaoge ulale muda umekwenda"

"Sawa.nikirudi nitakuomba unipake mafuta"sophia alinitumia huo ujumbe kabla ya kupita dakika kama kumi na saba.

"tunda nishaoga,naomba unipake mafuta bhasi plz"Sophi alinichatisha baada ya kutoka kuoga.kwa sababu sikuwa nimelala bado,bhasi nikaendelea kuchati nae tu,ilimladi kusogeza muda....

"itawezekanaje mimi kukupaka mafuta"

SOPHI;"itawezekana tu bhana,njoo unipake"

"siwezi,naogopa kuuona mwili wako,siunajua mi mtoto ata sijakua bado"

SOPHIE;"bwaanaa,njoo aliyekwambia we mtoto ni nani?"

"Mi mwenyewe najiona bado mtoto tu,naogopa kuona mwili wa dada'angu"

SOPHIE;"mmnh!!we mkubwa bhana njoo haraka bhasi,nisije nikakauka."

"kwa nini unataka mimi ndo nikupakae mafuta,huna mtu wa kukupakaa?"

SOPHIE;"sina tunda,nakutegemea weweee"

"Ok.nakuja"

Kumbuka tulikuwa tunachati kwa hiyo mimi kumwambia sophia kuwa 'OK,nakuja',haikumaanisha kuwa eti nitoke room kwangu niende room kwake na sophi 'hapana'.yani ilikuwa ile 'nakuja' ya kimeseji meseji siunajua tena mambo ya kuchati sometimes wanaochati hujiona kama ni kweli wanafanya.

SOPHIE;"mbona hufiki t....."sophi alinistua kwa meseji baada ya kuona nimekaa kimya kwa muda.unajua na mimi kwa kiasi fulani nilishaanza kunogewa,kwa hiyo nilikuwa nampa sapoti kumjibu.

"nishafika mbona,kwani hunioni"

SOPHIE;"bhasi kama umefika njoo unipake mafuta,nilale nimechoka my"hee mara nikaanza kuitwa my tena.nikajua huku chating inakoenda inakwenda kubaya.manake tatizo la chating kama hizi huelekea Sana kwenye kukwichi kwichi.yani unaeza kuta unachati na manzi ako chating ya kawaida tu,lakini ikitokea mmoja kuanzisha ujinga wa kuulizana maswali ya kitandani,matokeo yake mnazama kunako sex chating.na unavyoelewa sex chati ilivyo ya kijinga,yani Kama boy una ugwadu hakyani unaeza kwenda kupiga ata puchu mara ukimaliza kuchati na huyo duu wako.hata chating yangu na Sophie ilionekana kuelekea huko japo Sophie hakuwa manzi'angu.manake hiyo kuitwa my ilinistua kiaina.

"Usijali nipo kwa ajili yako"daaa unaona sasa.tayari na mimi nilishaanza kujiona kama boyfriend'ake Sophie Kumbe siyo ila tu ndo mambo ya chating hayo.

SOPHIE;"ooh asante,mi nishajiandaa kuingoja mikono yako tunda"

"Oo,nami nimeshachukua mafuta tayari,ebu niambie unataka nianzie wapi kukupakaza mafuta bibie."hapo chating ilianza kukolea sasa.

SOPHIE;"popote tu daddy"

"mmnh!!we nambie nianze na wapi,nataka unisaidie kunichagulia"

SOPHIE;"anzia mgongoni bhasi my.......mi nimelala kifudifudi kitandani"

"Woooh!!mbona unanitamanisha"

SOPHIE;"nakutamanisha na nini baba'angu"

"Na huu mgongo wako,siutaacha nitokwe na udenda mie"

SOPHIE;"mi ni wako tunda,hutoishia kunitamani,nitakupa ukitakacho ili nikupunguzie maumivu"heeeeyeeewiii ona sasa anachoniambia huyu bibie duu,siatasababisha nidindishe jamani akati mi nilikuwa kwenye kupotezea muda tu ili usingizi unijie.matokeo yake ndo kwaanza usingizi unazidi kunipaa.

"Kweli?"

"ndiyo tunda,n'takupa kila kitu"

Itaendelea. 

Post a Comment

Previous Post Next Post