DADA MAMU 25 MWISHOOO

dada mamu kwanini aliamua kunifanyia vile si asingeipa tu kwanini alimua kunifanyia mimi mtoto wa watu ahhhh kwanini si angeniambia nitumie hata condom , kwanini aliniacha ni kafanya kavu siku zote nilijuta na kujutia Na kuhisi kama ndio tiari niko kaburini…
maisha yangu yatakuwaje na vipi kuhusu da pammy akijua ili wakati tiyari da pammy tumeshafanya ule mchezo tena mbele ya dada mamu uwwi!!!! machozi yalianza kunitoka taratibu nilianza kujitua lile aaah !!!!!! kwanini dada mamu aahhhh !!!! 

Wewe!!!! Wewe !!!! amka mwanangu ni sauti ya uncle nilisikia kwa mbali wakati nikiwa bado nipo kitandani yaani nilistuka mbaya huku nikiwa na tirika na machozi kwenye machavu ya uso wangu nilijitahidi kuficha kile ila kabla hata sijafanya lolote lile wakati sijaitikia ile sauti ya uncle wangu ulikuwa tiyari umeshasukumwa na taswira ya uncle ilikuwa tiyari machoni mwangu

Huku akiniuliza kulikoni mbona ninalia harafu nimechelewa kuamka wakati ilikuwa ni siku ya shule nilikaa kimya hata cha kumjibu uncle nilishindwa zaidi ya kumwambia sijisikii vizuri hivyo sitaweza kwenda shule maana nilichukumbuka nilikuwa kwenye ndoto ndoto ambayo ilikuwa si kawaida kweli yaani dada mamu hawezi tokea lile ndio lilikuwa kichwani punde tu nilipomaliza kuongea na uncle na kunitakia ni pumzike tu
Nilivuta pumzi kwanguvu huku nikijiapia sitoweza kufanya yale kama mama yangu alivyonihusia kabla ya kifo chake nikiamini lilikuwa jambo baya zaidi ahhh !!! ilivuta shuka na kuendelea kulaa huku nikiwa najiuliza ooo!!!! kumbe wakubwa wanafaidi utamu utamu ila wakati wake badoooo!!! usingizi ulinichukua nikachukulika kumbe ilikuwa ndoto jaman Mie mzima ila nilijichafua acheni tu…

MWISHOOOOOOOOOOOOO

UKIMWI UPO VIJANA TUWE MAKINI TUSIMUAMINI MTU KWA MACHO TUCHUKUE TAHADHARI NA TUKAPIME NA TUWALINDE TUWAPENDAO ..

TUMIA 
@dumecondoms @kisscondomstz @stophivtogether @wizara_afyatz @tacaidsinfo 

Post a Comment

Previous Post Next Post