SI KILA MAHUSIANO YAKUVUMILIA: 15

Frida alianza kunibadirikia, mara akirudi ananuna tu bila sababu, mara akija akikuta nimepika hali anaenda kununua chips anakuja kula,nilichokipika hakigusi,,,ikafika kipindi anakuja na wanaume zake wanakaa sittingroom wanakunywa pombe vurugu mtindo mmoja,,mi naamuaga kutoka nakaa nje tu wakiondoka ndo naingia ndani,,,,ikafika kipindi anakuja na wanaume zake wawili wakisha lewa wanaingia chumbani utasikia tu miguno ya kimahaba yaani kiufupi alikua anafanya nao woote,,,daah hali ilikua ngumu kwangu maana hapo sina hela ya kutosha ya kusema nikapange na siwezi mzuia maana chumba si changu ni kwake siwezi mpangia,,,siku hiyo niliishiwa pozi kabisa alikuja mmama mtu mzima hivi mwenye umri wa miaka kama 45 hivi ama zaidi mida ya jioni nilikua nimekaa nnje kwenye ngazi za kuingia ndani kwetu,,,akanisalimia mambo,,,nikamjibu poa shikamoo,,hakuitikia shikamooo akajibu safi,vipi frida nimemkuta, nikamwambia hajarudi bado ila ndo mida yake hii maana ameingia asubuhi leo,,,akasema sawa namsubiria,,,nikamwambia sawa hamna shidah,,,akaingia ndani,, sikumfatilia sana maana nilijua wanajuana mi nikawa nimekaa tu palepale,,,ikapita kama nusu saa nikaanza kusikia mtu analalamika kimahaba,, heee 😳😳😳 nini tena hiki kwani humu ndani kuna mtu mwingine ama🤔🤔...nikapotezea lakini ilizidi,nikasema ngoja nikaone kuna nini,,,naingia sittingroom simuoni mtu sauti inatokea chumbani,,,nikanyata taratibu nikafungua mlango polepole maana alikua kauegesha tu hajafunga,,,uwiiii huyu mamaaa 😲😲😲😲😲 anajifanya mwenyew,,,yupo uchi wa mnyama anajiingiza vidole huku uume bandia upo pemben,, nilitoka mbio nikarudi nnje moyo unaenda mbio ni nini hiki jamani uwiiii hii ndo dar esaalam kumbe😲😲 sijakaa sawa frida anafika bila hata salam akaniuliza kuna mgeni wangu kafika nikamwambia ndio amefika,,,akapitiliza chumbani,,,nikasikia kimya hata sikusikia wakiongea chochote ghafla fridah akaniita,,,winie njoo haraka,,,nikashtuka mmama kafa nini 😳 nikanyanyuka nikaenda nikagonga akasema ingia,, nikaingia nawakuta woote wapo uchi wamekaa kitandani,,,,nilitaka kutoka frida akaniwah usitoke ingia na funga mlango,,,nikafunga nikasimama tu mlangoni akasema,,,huyu unaemuona hapa ni mpenzi wangu,,mie 😳😳nikachekea tumboni 😄😄 mpenzi tenaa na wale wanaokuja ni kina nani??najiuliza mwenyew hapo,,frida akaendelea,,,hivyo akija hapa chochote atakachohitaji utampatia chochote kile na ndo anaelipa kodi hapa na unavyoviona ama kuvisikia humu viache humuhumu usije ukavitoa nnje dar utaiona chungu,,, nikamjibu sawa hamna shida usijali nikatoka nikakaa nnje....niliwaza sikupata jibu,,nikasema kumbe dar ndo kuna mambo ya ajabu hivi nikamkumbuka aliyonifanyia sylivester na anayofanya fridah mmh nikabaki nimeguna tuu....lakini frida mbona ana kazi nzuri tu kitu gani kinamfanya awe hivi,,,nikiwa kwenye dimbwi la mawazo nikashtuliwa na salam ya mkaka ambae ni jirani yetu anakaa chumba cha pili...nikamuitikia salama mzima,,,akajibu mi mzima kisha akapita akaingia ndani kwake.....
Huko ndani nilisikia wametoka wamekaa sittingroom..........
ITAENDELEA............ 

Post a Comment

Previous Post Next Post