SI KILA MAHUSIANO YAKUVUMILIA; 17

Alinikaribisha ndani nikakaa kwnye kochi,,,alikua amejitahidi sana maana wanaume wengi kupangilia ndani ni mtihani ila kwake kila kitu kipo mahali pake,,hakua na vitu vingi ila palivutia sana...alikuja nae akakaa akaniambia mpenzi kua na amani usihofu sawa hapa ni kwako kuanzia sasa na kuendelea sawa mama,,,nilitikisha kichwa na kuitikia,,,akaniambia haya ngoja nikuwekee maji ukaoge,,,francy alikua ana chumba kimoja ila ni self,,kina choo humohumo ndani,,,aliniwekea maji nami nikaamka nikaenda kuoga nilivyorudi nae akaenda kuoga...alivyotoka akanikuta nimekaa kwenye kochi nikiwa nimejifunga tu taulo alilonipa maana sikua na nguo, nguo zote zipo kwa frida,, mbona umekaa huko njoo upande kitandani upumzike mama,,,nikanyanyuka nikasogea kitandani akanitolea shati nikavaa kisha nikapanda kitandani nae akapanda kitandani akasogea akanikumbatia akanikiss na kusema goodnight babe,,,hapo nawaza leo nakuliwa leo,,,nami nikamjibu goodnight dear,,,lakini cha ajabu hakutaka tufanye mapenzi wala nini tulilala mpaka asubuhi bila kufanya chochote,,,nashtuka nakuta ameondoka ameacha hela mezani na msg,,,utafanya matumizi hiyo hela ushinde salama mpenzi nakupenda,,,,woiii 😍😍mapenzi si ndo haya nilijikuta natabasam tu,, nikaamka nikachukua simu nikampigia boss sim nikaomba radhi kua sitaweza kwenda kazini najisikia vibaya,alinielewa hakua na shida,, akili ikaniijia niamke nitoke nikamgongee frida,,,nikavaa nguo nikatoka ile kufungua tu mlango nakutana na begi langu la nguo nnje mlangoni kwa francy,,,😳😳😳 kwani alijuaje nipo huku,,,nikaenda kumgongea kimya,nikagonga tena kimya,,eeh nikaona isiwe shida nikarudi nikachukua nguo zangu nikaingiza ndani,,,nikampigia sim labda atapokea hakupokea nikamtumia msg,,,frida asante sana mamie ulinipokea vizuri nashukuru ulinipa hifadhi kwa kipindi chote hicho mungu akubariki,nisamehe kama kuna sehemu nilikukwaza,,,kisha nikamtumia,,,akajibu msg akasema poa,,,duh niliwaza huyu mbona kanichukia ghafla hivi nilimkosea nini kwani? Aah atajijua mwenyewe,,,nikaamka nikafanya usafi sikupanga saana maana kila kitu kilikaa kwa mpangilio,nikawaza hapa nitafute cha kupika, ndani alikua ana kila kitu alijua kujipenda sana francy, nikafungua fridge nikakuta nyama nikaona niipike,,nikaiandaa nikawasha gesi nikaitenga,,nikaona nimpigie mama maana muda ulipita bila kuwasiliana nae nilipiga akapokea,,hello mwanangu hujambo, sijambo mama shikamoo,, marhaba unaendeleaje huko??? Niko salama mama,,,okay sawa mimi mambo yangu yameisha kazini na nimesharudi kazini hivyo ukipata muda uje twende kufatilia vyeti vyako,,,,nikamwambia sawa mama na hongera mama yangu mungu akutunze,,,asante,,,haya mama baadae,,nikakata simu,,taarifa ya mama kurudi kazini ilinifurahisha ikanisahulisha kero zote za frida, nikapika wali nyama nikachemsha na maziwa nikapakua nikala na kingine nikamuwekea francy....ghafla nikasikia kelele nje kama ugomvi na na nasikia sauti ya fridah nikakimbia mbio dirishani kuangalia nnje,,,woiii kafumaniwa na mama mwenye nyumba kumbe aliyekua nae jana ndani kwake ni baba mwenye nyumba tobaaaaa,,,ugomvi ulikua mzito maana mama mwenye nyumba alikua ni mama wa mjini alikuja na mashoga zake maana wao hawakai pale wanakaa kimara pale tulikua wapangaji tuu,,jamani frida alipigika mpaka huruma, wakati huo mwenye nyumba alitoka mbio akamuachia mwenzie msala,,, nikatamani kutoka kumwamulia ila nikaona mziki siuwezi na nilivyozoea kufungiwa na mama ushari nikawa siuwezi kabisaaa,,,watu walijaa kama ilivyo dar esaalaam kelele kidogo hata wanapotokea watu hujui,, wakaamuliwa pale frida akachukuliwa na mjumbe akiwa hajiwezi,kachanwa viwembe ni damu tu zinamwagika,,, sikutoka nnje sikutaka ushahidi niliishia kuchungulia tu dirishan...
   Jioni francy alirudi,,nilimsimulia yaliyotokea na nilivyokuta nguo zangu mlangoni,akaishia kucheka tu,,,nikampakulia chakula akala kisha akaenda kuoga,,alivyorudi akaniambia,, mpnzi naomba tuongee, nikamwambia sawa nambie,, naomba uongee na familia yako nataka niende kwenu kupeleka barua,, mbona haraka hivyo francy,,akaniambia,,ni muda muhafaka,,ni wakati wangu sasa wa kuishi na mke,,na nimeshaongea na wazee nyumbani wamenisihi kama nakupenda na nakuhitaji basi nifate taratibu niende kwenu kujitambulisha na kutoa barua,,,nikamwambia sawa naomba basi nipe muda niongee na mama alafu nitakwambia amesemaje,, akajibu sawa mpenzi hakuna shida,...niliwaza sana mbona anafanya mambo haraka hivi??? Ila nikajipa moyo huenda ndio fungu langu,,,siku hiyo usiku ulikua motooo hakuna alieweza kuvunga wala kuvumilia,,tulikutana kimwili yaani anafanya hachoki uwiii nilishugurikiwa hamu zote zikaniisha lakini mwenzangu bado anatakaa mmmh nikawambia mpenzi tupumzike kesho pia ni siku,,,alikubali kishingo upande akaniacha,,,,tulilala asubuhi saa kumi na moja akaniamsha akapiga tena kimoja akajiandaa akaenda kazini,,,mmh nikawaza huyu ni ugwadu au ndivyo alivyoo,,,kufanya kote kule usiku bado na asubuhi tena uwiii hatariii,,,,
   ITAENDELEA.......... 

Post a Comment

Previous Post Next Post