SI KILA MAHUSIANO YAKUVUMILIA. 7

Tuendelee,,,nikamjibu usijali love niko sawa,,akaniambia njoo unawe nikaamka nikasimama mlangoni akawa ananimwagia maji nikanawa nikarudi ndani maana hakukua na chombo chochote mle ndani basi nikala japo sikumaliza yeye alimalizia kisha nikamwambia nahitaji kujimwagia maji love akaniambia ngoja nikuwekee maji,,hapo mjue hicho chumba hakina taa ni mshumaa umewashwa yaan hakuna umeme, akaniwekea maji akanambia twende ukaoge natoka njee ananipeleka kwenye moja ya chumba ambacho kilikua hakijaisha ndo nioge kaweka maji huko nikamuuliza choo hamna love akajibu kipo ila usiku sasa na giza hili hutapaweza we oga hapa hakuna shidah mmh nikasema sawa ila usiniache nisubirie 😂 ikabidi anisubirie mlangoni maana palikua panatisha hatari yaani ni nyumba ambayo ilikua haifanyiwi usafi hivyo imezungukwa na vichakavichaka, nikaoga na kuswaki kabisa kisha nikatoka tukarudi ndani...nikatafuta nguo ya kulalia nikavaa maana mimi hua siwezi kulala bila nguo yeye amekaa tu kitandani ananiangalia, nilimaliza kuvaa nikapanda kitandani tukaanza kutazamana kama dk tatu hivi kisha akanisogelea na kunipa romance uwiii ilikua ya taratiiiibu 😋😋 mpaka nikajikuta napagawa akapeleka mkono kiunoni jamani nilihisi kutetemeka maana alikua anapapasa taratibu kama hataki na alikua amejaliwa mikono lainiiiii,,,,alikua anajua kumuandaa mwanamke na ukizingatia nilikua na ugwadu mda mrefu woiii sikufikiria kingine zaidi ya kupewa tammm yaan sikuwaza ukimwi wala mimba nyege zikizidi ni hatari sana,,,baada ya kuandaana akatoa nguo zote na kunitoa zangu tukawa waziii kaka alikua na mwili yule jamani lakini muda huo nilimuona mwembamba🤣🤣🤣🤣 tena zaidi yangu,,,,akaanza kunipa tamm uwiii ilikua tam hasaaa maana alikua ananipa taratibuuuuu kama hataki basi nilikua naisikilizia hadi usogoni nadhani mnajua jamani ukipewa taratibu inavyokua tamu tena kifo cha mende we acha kabisaaa 😋😋 basi tulikulana paleee mpaka tukatosheka akashuka hapo tuko hoi nilimwangalia sikummaliza yaan huyu chibonge ndo kanipa utam hiviiii kitu ambacho sikuwah kukipata hata kwa niliekua nae mwanzo,,,,nikaamka nikamuomba anisindikize nje kujisafisha, tukajisafisha vizuri tukarudi ndani lakini hatukua na story nyingi maana nilikua hoi kujumlisha safari na tuliyofanya basi nipo hoi sikuchukua muda nikapitiwa na usingizi,,,,,nakuja kushtuka saa nne asubuhi yeye alikua ashaamka muda tu amekaa akanisalimia pale na morning kiss,,,kisha akasema nenda kaoge nishakuwekea maji, nikaamka nikaenda kuoga nikarudi nikakuta chai imeletwa na vitafunio nikamuuliza love ulitoka akasema hapana mdogo angu ameniletea 😲😲 wee saa ngapi nilimuuliza,,sasa hivi ameondoka atakuja kukuona baadae mmmh nikasema sawa nikavaa pale tukanywa chai kisha akanambia twende nikuonyeshe kwetu,,,,nikafurah maana nilitamani kupajua ila kaniambia hatutafika nyumbani kabisaaa maana sijawaambia wazazi na haitakua heshima,,,nikamwambia sawa hakuna shidah kweli alinipeleka na kunionyesha nyumba kwa mbali nikamwambia ni nzuri kisha tukatembeatembea kidogo tukarudi gheto,,, sikuwahi kumuuliza pale gheto ni kwa nani maana mimi hua mkimya sana alafu nahofiaga kumkwaza mtu hivyo sikutaka ahisi chochote,,,lakini ilikua kila ikifika usiku mida ya saa sita nasikia sauti ya mlevi anaongea na kuimba mwenyew chumba cha pembeni maana kilikua hakina mlango wala madirisha hivyo alikua anasikika na ukizingatia ni usiku sauti inapaa sana,,,nikamuuliza huyo ni nani akasema mshikaji ndo mwenye hichi chumba,, 😳😳😳ndo mwenye chumba??? nilishangaa,,,,ndio mpnzi,,,sasa analalaje huko na kuko wazi na hakuna kitanda? Akanijibu usijali mpnzi hana shidah kua na amani naelewana nae...mmmh nilibaki nawaza tu msomi kweli atakua na marafiki wa design hii mmmh hapa kuna shidah.,  
    Nilikaa karibia wiki haikua siku mbili tena na mdogo wake nilifanikiwa kuonana nae alikua ni mkarimu sana na mwenye upendo na ndiye alikua akipika chakula nyumbani anatuletea gheto ko sisi ilikua kula na kupeana utam tuu na nilikua na no ya wifi yangu ko tulikua tunawasiliana tu muda wote....lakini siku hiyo iliingia no ngeni kwenye simu yangu mmmh nikaipokea hello,, kesho asubuhi njoo chuoni offisin kwangu mkurugenzi hapa naongea,,,,😳😳😳😳 nilishtuka kesho tena nikamsalimia shikamooo mkurugenzi,, hakuitikia nikasema samahani naomba kuja kesho kutwa maana nipo mbali kidogo simu ikakatwa uwiiii nilivurugwa nikawaza akimpigia mama itakuaje woiiii nimekwisha mimi jamani.....
ITAENDELEA 

Post a Comment

Previous Post Next Post